Search results

  1. A

    Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

    Clouds tuondoleeni utata nyinyi si wazalendo! Ukweli ni upi?
  2. A

    Udongo wenye sumu kutoka Tz unakwenda kuteketezwa Uingereza?

    Hakika nchi imefika hatua mbovu. Sasa wabunge wanasikia hawasemi wanasubiri baadae wakaibue hoja bungeni baada ya nchi kuwa imekwisha pata hasara na wao waonekana kuijali nchi. Kama hamuamini subirini baada ya miaka 2 mbele hasa nyakati za kampeni za mwaka 2015.
  3. A

    Udongo wenye sumu kutoka Tz unakwenda kuteketezwa Uingereza?

    Hao ni wengine wewe unasemaje? Si hoja yangu, hii ni mifumo ya baadhi ya watu kujitengenezea mazingira kutunisha matumbo yao.
  4. A

    Magufuli wafuatilie na kuwakemea wahindi hawa

    Mbona hilo liko wazi ni rjk
  5. A

    30 deep feeling of a girl

    yes its realy right.
  6. A

    Jamani tigopesa weziii!

    Kweli mkuu. Mpesa ni wazuri za hata customer care wako serious na kaz. Nimeshawah kutuma pesa kwa kukosea namba na kuwasiana nao hata masaa 3 hayafik wanarudisha pesa.
Back
Top Bottom