Yes!! una gharama inawezekana kukatokea vifo pia, kwa mambo kama haya sidhani kama ni Serikali ya kutupiwa lawama kwani inawezekana ni coincedence tu, kuna hali ya hewa ya mvua tu kwa vile kama serikali isingetaka mkutano ufanyike ina njia na uwezo mkubwa wa kuzuia si kukata umeme.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.