Search results

  1. B

    Anahitajika Dada wa Saloon

    Anahitajika mdada anaejua masuala ya saloon. Ajue kusuka mitindo yote hasa yeboyebo. Saloon ipo Tabata Segerea. Itapendeza zaidi akiwa anaishi Tabata. Malipo ni maelewano. Email ya mawasiliano ni.. lulandala7@gmail.com
  2. B

    Gari la abiria

    Wapi nitapata haisi ya kununua?? Hata km used ila ambayo haijachoka
  3. B

    Msaada wa mahali pa kufanyia field

    Barua ipo mkuu
  4. B

    Msaada wa mahali pa kufanyia field

    Kutoka chuo cha mzumbe mwaka wa pili, procurement and logistic management
  5. B

    Natafuta field

    We acha hizo bwn. if u dnt wnt to help thn keep quite coz being a university student doesnt mean that u have evry thng. so my young doest have a phone/laptop whch supports internet, and i have a phone with internet thts y um helping. acha fikra mgando.
  6. B

    Natafuta field

    Access na internet ndio tatizo.
  7. B

    Natafuta field

    Sielewi, bt anasoma Procurement pale. Msaada plz
  8. B

    Natafuta field

    Mdogo wangu yupo mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, Kozi ya "Procurement and Logistic Supply'. Naombeni msaada wenu. Field zinaanza mwezi wa saba. lakini barua za kuombea zimetoka. Asanten
  9. B

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    tunaomba hilo link jaman. duuuu !!!!!!!
  10. B

    Binti Achinjwa Kama Kuku huko Kahama_Kisa Mapenzi

    Sion kosa la huyu mtoto. Kupenda si dhambi. Watoto wanawah kukua na hisia zinawahi vilevile. Ila ukisikia mtu amekusaliti ndio unaua!!!! Ili nini??? Wanaume badilikeni. km hela zinakuuma usitoe, mtu maisha magumu afu bado anahonga!! Achen wenye hela zao wahonge. Apo huenda hela alizohonga jumla...
  11. B

    Nyumba inauzwa

    Anataka mumpgiepigie ili cm iwe buzy aonekane mtu wa bsness. punguza usumbufu. weka bei na picha ili atajaekupgia awe atleast kaanza kujpanga
  12. B

    Thank you jf.

    Asante kwa ushaur. Kaz ndio maisha. Ntaiheshimu daima
  13. B

    Thank you jf.

    Asante
  14. B

    Thank you jf.

    Ntajtahidi kuhakksha natoa mchango wangu kwa wengine kama wengine walivyo/wanavyotoa kwangu
  15. B

    Thank you jf.

    Hatimaye nmepata kazi kupitia hapa. Ushauri ni kwamba; kwa wanaotafuta kaz msipende kuchagua post. wewe ukiona post ya kazi tuma maombi. u never know. Mimi nliapply tu bila hata kujua mahali ofisi ilipo hadi siku ya interview ndipo nkaelekezwa. na sasa ni muajiriwa wa hiyo kampuni, tena ni kubwa...
  16. B

    Natafuta dalali wa kuntafutia chumba

    Vyovyote vile. Me npo ready
  17. B

    Natafuta dalali wa kuntafutia chumba

    Jaman nna shida na rum. Iwe kubwa, nymb yny maj na umeme. Mitaa ya Kinondon, Sinza au Ubungo. Naomba anayemjua dalal au km binafsi unajua rum ilipo plz naomba uni pm ili tuwasiliane kwa simu. Asante
  18. B

    Natafuta chumba cha kupanga

    Chumba cha kawaida cha kutosha kitanda cta kwa cta, dressing table, meza ya tv na vyombo. Kuhusu namba ya cm labda mtu akini pm km ana hcho chumba.
  19. B

    Natafuta chumba cha kupanga

    Kama una namba ya dalali naomba
Back
Top Bottom