Search results

  1. magosha

    #COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Kama mmekula dola za wazungu nendeni mkachome hizo sindano msilazimishe wengine
  2. magosha

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Story ndefu halafu pointless Mama chanjo ni nzuri kwako kachanje.
  3. magosha

    Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

    Mbowe: Watanzania Wachanjwe kwa lazima ☝🏻mlitaka kauli Kama hizi zitawale Katika taifa 👇 Hapana.
  4. magosha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Ukiona mtu anashabikia chanjo 1. Kala fungi la dola za wenye corona. 2. Ni mjinga na ujinga wake umesababishwa na hofu zinazotolewa Kila siku na mawakala wa corona
  5. magosha

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Mleta hoja sijaona hoja yako inalenga nini uko kwenye hoja ya ubunge kaupataje au uko kwenye hoja ya chanjo. Ubunge kachaguliwa na wananchi wa kawe. Kuhusu chanjo mpaka sasa haieleweki kuwa ni salama. Maana Kuna vitu vingi nyuma ya chanjo. Na wanaotetea chanjo wake na hoja kabambe kutetea hiyo...
  6. magosha

    Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    watu wana macho na wanaona vitu vimefanyika hivo Magufuli atakumbukwa daima maana naona mnatumia nguvu sana kumchafua.
  7. magosha

    CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

    kama linatumia upembuzi wa 1970 ambao ndo wenyewe alitaka wafanye upembuzi mwingine?
  8. magosha

    Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    wapiga dill wa nchi hii walikuwa wamepumzika kidogo sasa nafikiri wataenda kuigawana hii nchi naona wanarudi kwa kasi ya umeme
  9. magosha

    Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Halima kawe alishaitosa miaka mingi Sana Ila yupo yupo tu
  10. magosha

    Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

    Huko Ni kuota mchana kweupe endelea kuota
  11. magosha

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Mbona analalamika tu. Chama kilipata ruzuku halafu unasema Hakuna pesa unataka kuchangiwa.
  12. magosha

    Baba Askofu Gwajima, Mwenyezi Mungu anakuona

    Hayo yalikuwa ni maoni ya wajumbe na siyo kwamba ndo walichagua mgombea
  13. magosha

    Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

    Graduate unalalamika huna kazi shame on you Badala ya kuhamasisha wenzio mujiajiri unafanya ujinga
  14. magosha

    Gwajima atumwa Ninawi, akimbilia Tarshishi, Kawe imtose Baharini

    Hakika watu wanaweweseka na Gwajima mpaka mnaanza kukoti vibaya neno la Mungu. Mpaka sasa msha0oteza Jimbo
Back
Top Bottom