Search results

  1. Chimile

    Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

    Kwa kuwa UKAWA ni watetezi wa wanyonge...naimani Mungu atazidi kuwakumbatia na kusambaratisha roho ya utengano..MATHAYO 5:9 "Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa Mungu"
  2. Chimile

    Toa order ya sim original used unayoipenda

    nahitaji htc..niko iringa..ntapata kwa ngapi
  3. Chimile

    Lugha ya binadamu na mawasiliano ya wanyama

    wanadau naomba kwa yeyote anayefahamu tofauti angalau sita kati ya lugha ya mwanadamu na mawasiliano ya wanyama.
  4. Chimile

    Wasiopata mkopo

    Ndugu zangu, naomba kufahamu kwa sisi ambao hatujapata mkopo kama kuna taarifa ya awamu nyingine ya majina ya mkopo... truly tunnaumia sana na kuhisi kutopata chance ya kuendelea na masomo. Kwa aliye na taarifa NTASHHUKURU KUJULISHWA
  5. Chimile

    Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

    Hapa MUCE kuna foleni za kufa mtu kuanzia asubuhi hadi jion.... Sijui kama mambo yanaweza kuisha mapema kama hakutakuwa na utaratibu mzuri wa kuwapokea mwaka wa kwanza
  6. Chimile

    HLSSF Sponsors and supporters

    Wakati flan nakuwa na matumaini makubwa kwa hawa jamaa kwa kuangalia namna walivyojieleza kinagaubaga.... but kwa nini serikali imekaa kimya....? hata tamko? Sponsors and supporters ORGANIZATIONS ROLES AND RESPONSIBILITIES UNITED NATIONS VOLUNTEERS (UNVs) This help...
  7. Chimile

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    Kaka tunakusubiri kwa hamu....kiukweli japo kuna roho ya kukata tamaa lakini bado nina ujasiri wa kupata mkopo..nahisi kuna majina yatatoka na langu likiwepo.... Mungu nisaidie Jaman tunaweza kujaribu kwa hawa jamaa pia wanatoa... Home
  8. Chimile

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Tatizo la elimu ya kujitambua ni shida kwa wengi wetu.... kwa kawaida elimu nidaraja ya kukuwezesha kutimiza karama na kipawa ulichopewa...elimu kubwa si uongozi...ufaulu mkubwa si uongozi....uongozi ni utashi na uwezo wa kuonyesha njia sahihi..... hili halihitaji uprofesa... chukua mfano mzuri...
  9. Chimile

    TCU YATOA MAJINA YA FIRST AND SECOND SELECTION 2012/13 click here

    Sidhan kama ni sahihi kudanganyana kwenye sehemu muhimu kama hii....hicho kinachosemwa hakiko coz tumejaribu sana bila mafanikio....tusitumie pressure waliyonayo wanaosubiri kuwayumbisha kimawazo
  10. Chimile

    Misamiati itumikayo vyuoni

    nimeipenda " kukomnika"
  11. Chimile

    Vigezo vya kupata mkopo bodi ya mkopo elimu ya juu

    Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012.... Jaman vipi sisi watoto wa wakulima tuliomaliza miaka ya nyuma na tunahitaji kuendelea kwa sasa
Back
Top Bottom