Search results

  1. B

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Nikweli Mh..Rais amesema elimu bure. lakini je! wewe mwananchi mwenzangu ambaye mtoto wako anasoma pale kantalamba sekondari unajua umuhimu wa mchango wako ktk shule hizi za kata.kama hujui nkujuze na kama umesahau nkukumbushe kidogo ,iko hivi shule hizi hazina waalimu wa sayansi wa kutosha...
  2. B

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Nikweli Mh..Rais amesema elimu bure. lakini je! wewe mwananchi mwenzangu ambaye mtoto wako anasoma pale kantalamba sekondari unajua umuhimu wa mchango wako ktk shule hizi za kata.kama hujui nkujuze na kama umesahau nkukumbushe kidogo ,iko hivi shule hizi hazina waalimu wa sayansi wa kutosha...
  3. B

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponiii.
  4. B

    Kwa hali hii CCM lazima waondoke madarakani

    poleeeee sanaa.
  5. B

    mabalozi 100 wahamia CDM monduli.

    Habari zilizo tufikia hivi punde ni kwamba mabalozi 100 wa nyumba kumi huko monduli ambao walikua ni makada wa CCM wamehamia chadema.
  6. B

    CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

    usiamue ukiwa & hasiraa.subirini tuvute pumzi kwanza..then tuamue.
  7. B

    Tujuzane maeneo ambayo UKAWA wana nafasi kubwa kutwaaa ushindi Oktoba

    same mjini ukawa wananafasi.DEVID MTHAYO ni bure bure kabisaa.waspo mbadilisha bora tuongozwe na ukawaa
  8. B

    Kawambwa na sisi Waalimu lazima kieleweke kwenye bajeti ya Elimu

    Nimesikitika sana tena sana kusikia waziri anasema waalimu ametulipa madai yetu yote. Ngoja nijisemee mimi ni mwalimu wa shahada ya kwanza nimeajiriwa anzia mwaka 2008 nlikaa miezi 6 bila mshara,mwezi wa saba nilianza kupata mshahara cha ajabu mpaka leo sijalipwa madai yangu ya miezi 6 ya...
  9. B

    Mkuu wa wilaya Hai-Novatus Makunga kafanya alichoshindwa M/kit wa CCM Hai

    mheahimuwa DC,nakuomba utembelee wilaya yako, najua ww n mchapa kaz, uspo fanya kaz utaaibika kama juzi halmashauri ilivyo aibika mbele ya mkuu wa Mkoa Gama kwenye kikao na waalimu.napenda kukumbusha uziangalie shule kongwe kama elyamungo na machame girlys.machame imeoza hata kwenye rank haipo...
  10. B

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    wana jamvi kitendo hiki chakinyama kimensikitisha sana...na hii nikutokana na mauwaji yanayo fanywa na polisi husika kuto kuchukuliwa hatua mfano mauaji ya arusha na yajuzi moro....polisi hawa laiti wangewajibishwa na wengine wange jifunza,,,sasa kama serekali haita shuhulikia hili itabidi...
  11. B

    Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

    wakuu hawa walipenda shule na wanafunzi wao,wakuu wasmuhizi matakwa binafsi na fitina mfano mkuu wa machame girlis secondary kakalia ubabe na fitina watoto wanafeli na waalimu kuhama kila siku wazamani dhahabu bwana.
  12. B

    Shule ya sekondar machame imulikwe.

    Ni muda sasa tangu tusikie malalamiko kuhusu shule hii; Leo na mimi acha nifunguke..msomsji WA uzii huu utakubaliana na Mimi kuwa shule hii imepote kwenye ulimwengu wa Elimu ukilinganisha na shule nyingine kama Ashira, weruweru nashule nyingine, Haya ni matokeo ya mkuu wa shule ambaye hana uwezo...
  13. B

    Tumaini university Makumira ufisadi wazi wazi

    mgomo wa nukia chuo kikuu makumira kutokana na ungozi wa chuo kutaka kuwajeuza wana chuo kuwa mtaji baada ya kuanzisha ulipaji wa lazima wa Tsh 60000 za matibabu kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.pesa hii kwanza imekuja kati kati ya mwaka na mbaya zaidi hata wafanya kazi na wategemezi wenye bima ya...
  14. B

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    nimeshindwa kuelewa jinsi omari nundu na naibu wake jinsi wanavyo ongoza ofisi yao,naibu anaenda safari bila kuwasiliana na bosi wake na bos ana nyamaza mpaka aambiwe ajiuzulu ndio anasema hawaelewani,,,swali hawa watu wawili kama hawaelewani watafanyaje kazi wawili,watu kwenye wizara watafanya...
  15. B

    Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

    kuleni vichwa makamanda nape kaishiwa maneno,,,,
  16. B

    Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

    wewew umeishiwa maneno ndugu kajilalie tu...
Back
Top Bottom