Search results

  1. MSeush

    Wasichana/wake za watu: Kuwa makini na hili

    Maneno yana kaukweli flani ndani yake tahadhari inawahusu walengwa...
  2. MSeush

    Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Mambo haya kufahamu undani wake inakuwa ngumu ,,,
  3. MSeush

    TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

    R.I.P Tyson tumepoteza jembe katika tasnia ya filamu tanzania.
  4. MSeush

    Nanasi Lililoozea Ndani...

    Kwa hakika ni kisa chenye kufundisha sana kwa watu wote na tukumbuke kwamba UKIMWI upo na tuchukue tahadhari sana kwa maisha yetu.Binafsi nimejikuta natafakari sana mwelekeo mpya kwa janga hili la UKIMWI.
  5. MSeush

    Nanasi Lililoozea Ndani...

    Ama kwa hakika hadithi hii inafundisha sana kwa wote wenye tabia hizo za UKWERE.Lakini kwa wote ni kisa kizuri kutafakari mwelekeo wetu sote.Asante mleta mada
  6. MSeush

    Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

    Jamani mchezo huu kweli Hatari sana Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  7. MSeush

    NImekubali Fainali Mtaani,,, tuliowapita GPA wanatuzidi Maisha kila kukicha

    Pole sana kwa jinsi ulivyo umia lakini yakupasa ujipe moyo,maisha ni zaidi ya ya GPA.utafanikiwa endelea kusaka fursa zingine na zaidi mtangulize mungu kwa kufanya maombi kwa kila unalotaka hakika kwake kila jambo ni jepesi.Bongo mambo mengi yanaumiza akili sana angalia usijipe msongo wa mawazo...
  8. MSeush

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Mungu akupe nafuu upone Ufoo na poleni sana kwa msiba wa mama.
  9. MSeush

    Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Umejitahidi kiasi flani katika kufikisha ujumbe ingawa ungefafanua zaidi ni wakati gani muafaka,usiku.mchana,asubuhi na je?msongo wa mawazo hauwezi kuharibu mwelekeo wa mtu kutafuta aina ya mtoto amtakae?
  10. MSeush

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Hongera sana jeshi letu kuendelea kuleta ukombozi,hata hivyo kila hatua inayofikiwa katika mapambano haya ni muhimu sana ikalindwa kwa umakini wa hali ya juu.Ikumbukwe hawa wanaojiita M23 wapo huko na mabwana vita wao kwa muda na wamekuwa kila siku wakibadili majina mbalimbali, muhimu kwetu ni...
  11. MSeush

    Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

    Peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooopawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Hakika mtiti huu mpaka kieleweke.
  12. MSeush

    Mbunge wa Mtwara Mjini akamatwa kwa uchochezi!

    Win win situation........Mhhhhhhh!!!!!!
  13. MSeush

    Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

    Mhhhhhh makubwa,sasa sijui haya mazoezi yana mtizamo gani kwa wananchi mtwara au ndio kuonyesha nguvu za dola?
  14. MSeush

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Sasa ngoja tuone mpambano kati ya MAGAMBA vs.MAGWANDA...............katika mada hii
  15. MSeush

    RPC Mtwara: Wananchi kaeni mkijua ya kwamba hizo vurugu mnazozipanga kesho sisi tumejipanga vilivyo

    Busara itawale katika kutafuta suluhu kuepusha maafa......
  16. MSeush

    Je FIRTSBORN wengi ni mzigo kwa familia

    Nakubaliana na wewe kwa kiwango fulani, sababu Utegemezi wa kuamini Ufanyiwe kila kitu na ndugu yako kisa tu yeye ni mkubwa kwenu hukufanya Ubweteke na kushindwa kutafuta chako.Wengine ni wahanga wakubwa sana katika hili na mtizamo huu umekuwa ukitafsiriwa vibaya.
  17. MSeush

    Masters za open university

    Muhimu ni kujipanga na kuweka mbele malengo yako,zinatambulika sana mbona wengi wamepita huko.
  18. MSeush

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Mhhhhhhhhhhhhh sasa ngoja tuone aiseee
  19. MSeush

    Wassira akiri Mbowe na Dr. Slaa wana 'majina makubwa'

    Na hasa njaa yenyewe ikiwa imehamia kichwani ni Hatari
Back
Top Bottom