Rafiki, nimerudi. Utaniona picha yangu halisi kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/854910-wakati-mwingine-kwa-upweke-huwa-nafanya-hivi.html
My love, inapokuwa idadi ni kubwa kwa matendo fulani ktk kundi
hiyo ndio huwa defining trait kwa kundi. Hao wengi wanao oneana wivu
wanafanya sie wachache ambao we mean it tutolewe kwenye hesabu!
Siku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu.
Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.