Search results

  1. siralola

    STAR TV hiki kipindi cha 'ngano ya Afrika' hakifundishi wala hakielimishi

    kwa kawaida tu kwa ubongo wako mdogo hauwezi kabisa kuelewa kazi yangu kifupi unatakiwa kuelewa kipindi chenyewe hauwezi kulazimisha unavyo taka wewe kipindi kinalenga sana katika kuelimisha na ucheshi mwingi hio ndio maana nzima ya kipindi chenyewe tatizo kama haujatuliza akili hakuna...
  2. siralola

    UDA yaingiza mabasi mapya 175 kuboresha huduma ya Usafiri Dar; kuongeza mengine 2,000 ifikapo Juni

    yapewe rot kama kweli wanataka kuondoa tatizo la usadili
  3. siralola

    Nifanyeje nipunguze kitambi aka kifriji?

    mimi mwenzako nina mwezi sasa napambana nacho nilikuwa na kilo 90 nimepunguza kilo 5 kwasasa lakini kitambi bado kipo.naendelea kupambana nacho.
  4. siralola

    Mauwaji ya kinyama Moshi

    utam umemponza mungu mlaze pema
  5. siralola

    Wazanzibar wafurahishwa na mauaji ya Padre Mushi

    tusiingize dini kwenye hili jambo nazani mnajua magaidi ni watu wachochezi sana wanaingia kwa migongo ya dini lakini hawapiganii dini ni maslai yao tu tuwachunguze wanaosababisha haya ni nani kwa maslai ya nani kama nchi itaingia katika machafuko ya kidini ni nani wataumia na hiii ni akina mama...
  6. siralola

    List Of Top Ten richest people In Tanzania

    haiwezekani waislam pekee ndio wawe matajiri tanzania huu ni uongo
  7. siralola

    Mtwara: Mbatia ashushwa jukwaani, ni kutokana na kauli yake juu ya suala la gesi

    watu wamechoka na siasa maisha ya watu ni duni sana yeye analipwa pesa nyingi sana kupitia ubunge kwahiyo anazani kila mtu anapata kama anavyopata yeye watu wanaona ni bora kufa kuliko soasa za uongo wanasiasa amkeni mtakuja kufa majukwaani angalieni ya kusema sio mnalozoka kama mmekula nywele.
  8. siralola

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kuna watu wengi wamepona sukari kuna mzee anajua dawa ya kienyeji yupo boga ni baba wa rafiki yangu kama unaiitaji fika mwenge vinyagoni duka no 58 uliza mudi raisi anaweza kukusaidia.
  9. siralola

    Membe akalia 200bn za Zanzibar

    Viongozi wa zanzibar ndani ya muungano hawalioni hili au ndo wakipakea mishahara wanakaa kimya.
  10. siralola

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto ni mbunge wa chadema Slaa ni nani? je unajua mbunge hupatikana vipi je hao waliompa zamana ya kuwaongoza ni wa chama gani mimi ni chadema damu lakini ukiniuliza kuusu hawa wawili naona Zitto zaidi ya Slaa katika siasa labda kwa uongozi wa kanisa naweza kumpa Slaa kama atakuwa hana mke...
  11. siralola

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Mimi jamani nachoka kabisaa na siasa za hapa kwetu watu wanauchu wa madaraka pia wanauchu wa pesa naamini kuwa wasafi ni wachache sana katika ccm hata chadema sasa sijui nifanye nini nikisema nisipige kura najizurumu haki yangu nikisema nipige kula nawapa watu ulaji wa nchi yangu bora niondoke...
  12. siralola

    Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

    Ni bora muungano uvunjike nitafurahi sana mimi nimekaa unguja mika kumi nawajua wazanzibari vizuri sana ni wabaguzi sana kwetu huku wanakaa bila shaka kama ndugu kwao utawasikia baamkwe kutahama hapa si penu hawana maana hata kidogo angalia hata wakipanga kwenye nyumba yako hawataki kushea...
  13. siralola

    Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

    duuu leo nalala na njaa kumbe watu wanamagari ambayo kama wakiyauza wanaweza kula mpaka uhai wao wote haya ndio maisha tafuteni nayi mtapata.:A S cry:
  14. siralola

    Tapeli wa kuogopwa hapa dar es salaam!

    pole sana kwa kutapeliwa lakini kwa mimi nijuavyo siku zote matapeli huwafata watu wenye tamaa sana anakutamanisha na wewe kwa ujinga unatoa kama ni pesa au chochote kile anachokitaka na ndomaana kuna matapeli hadi wa mapenzi punguza tamaa hauta tapeliwa maisha yako yote.:eek2:
  15. siralola

    Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

    cdm ccm wote ni siasa tu siwakubali hata kidogo sisi hatutaki siasa tunataka maendeleo katika nchi yetu na si siasa ya cadema na ccm wote na hayawani wanatufanya tuishi maisha mabovu ni bora hiyo vita itikee tukaishi ukimbizini labda tutapata hafueni.
  16. siralola

    Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

    tunatandikana na nani sema bora vita itokee akina mnyika mbowe kikwete tundulisu makakamba yaani hawa wanasiasa wote wakale kuku ughaibuni sisi choka mbaya tuuwane au sio mwana.
  17. siralola

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    kwakweli inasikitisha sanaa hii ni mara tatu sasa boti zina zama ehee mungu waraze pema walipoteza uhai katika ajari hii
Back
Top Bottom