Search results

  1. M

    Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

    Single mothers =Single fathers.
  2. M

    Wazo la leo

    Tanzania inawezakana!!
  3. M

    Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

    Ha ha ha. Kwani kajioa mwenyewe. Hata wanaume wanapenda kuoa.
  4. M

    Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

    Waweza kuta hata aliyeandika hapo sio Yeye!
  5. M

    Bernard Membe enzi za ujana wake

    Mkuu naomba unijuze kuhusu kigezo cha macho ili kumjua jasusi au kupata kazi ya ujasusi
  6. M

    Ridhiwani akikabidhiwa gari ya kubebea wagonjwa Ikulu

    Yaan nafungua Uzi huu ,na taarifa ya habari ya kwenye redio inatangaza.
  7. M

    Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

    Wachunguze na kifo cha marehemu..maana kuna utata...kwa nn walikataa kumrudishia hati yake ya nyumba?halafu kikatokea kifo hiko cha utata.
  8. M

    Anga limechafuka

    Hebu tuonjeshe "procedure" mojawapo ya jinsi wanavyotibiwa ili kukwepa kutubuliwa majipu?wanamsahaulisha Mkuu???basi picha ya Mkuu si itakuwa inatumika sana huko??
  9. M

    Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

    Hapo sasa .hata mm sijapenda.kama aliamua kulea angeendelea hivyo hivyo...sasa ingekuwa sio wake sijui angemkataa?
  10. M

    Naibu Waziri wa Afya afunga chumba cha kuhifadhia maiti, Hospitali ya Rufaa Tumbi

    Pole sana watu wa mochwari.Mshana Jr.ulifanya kazi mochwari kwa kupenda au kwa kuwa Taaluma yako unayotupatia imechangia ww ufanye kazi huko?Nataka kujua tu.
  11. M

    DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    Walimu mwaka huu watakaguliwa hadi meno
  12. M

    DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    Na wafanyakazi wengine mf.B.O.T nao warudi mwisho wa wiki wakadeki vyoo vyao.
  13. M

    Anga limechafuka

    Ha ha ha kaka Mshana Jr..naona ww ulitembelea.
  14. M

    Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    Kwa nn wasingepewa posho ya nauli?
  15. M

    Haya yananifanya nisijiunge na king'amuzi cha Azam

    Huyu kashachukuliwa na Azam Tv
  16. M

    Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

    Mbona niliangalia clip moja wakihojiwa na clouds TV..Idriss alikiri kumpima wema ujauzito bila wema kugundua na kugundua kuwa ni kweli alikuwa mjamzito..INA maana Idris naye aliwachezea watu akili?
Back
Top Bottom