Search results

  1. K

    Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

    HAHAHAHAHAHAH mkuu umenifurahisha sanaaaaaaaa.........watapata shida kwa mzee Lowassa maana ni bingwa wa kugawa vijisenti.......wanachama wa chama cha kijani bwana siwaelewagi kabisa
  2. K

    Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

    tunatamani kuachwa wengine wanalilia wanawake
  3. K

    Hakuna wa kumpinga Lowassa

    Nipende kusema tu kuwa mimi siyo mwana CCM ila ntamuunga mkono Mheshimiwa E.L atakapoamua kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi ndani ya chama chaka hata kama mgombea binafsi kama katiba mpya itakuwa inasema hivyo. Sababu za kukupa kura yangu ni nyigi sana. Kama una nia nikupe nguvu zaidi...
  4. K

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Lusinde(kibajaji) Mwigulu michemba Shibuda Zitto pinda makinda kapuya lowasa komba ndugai zungu sophia simba mrema celina kombani wengine kesho ntawataja
  5. K

    Nape: Ningepitishwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Ubungo, Mnyika asingepita!

    Mnyika ndo kila kitu. Huyo Nape akaimbe kwaya kwa kaka yake komba'
  6. K

    Kuhusu Zoezi la Vitambulisho vya Uraia Kupangiwa Muda wa Ukomo kujiandikisha ni Sahihi?

    Hujaelewa, muda wa ukomo ni kwa sasa, wakishapita nchi nzima utaratibu huo utakua endelevu, ukisema wakae dar tu watu hawataisha maana naamin kila siku watu wanatimiza miaka kadhaa sasa wakifanya kusubiri hawatapiga hatua yeyote, chamsingi wanapita nchi nzima yaani kila mkoa baada ya hapo zoezi...
  7. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    huna jipya majungu tu yamekutawala mzee wewe'
  8. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    kwahiyo wabunge na viongozi wote wa CCM wanaodai wanataka kuuwawa wanataka huruma ya wananchi??nataka nifahamu mantiki yao kwakuwa Dr. Slaa katoa taarifa unataka mpaka mumtoe roho ndo tuanze kujadili? Tumia hata akili za jirani yako ukishindwa kufikiri kama zako zimestack'
  9. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    kuna nini ulichosema hapa zaidi ya kukichafua chama chako!nyie ndo wauaji
  10. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Ni chama kipi kinadandia matukio zaid CCM? Unakiabisha chama chako mwnyw we mzee'
  11. K

    Napenda chadema

    Upo penyewe', penda CDM wewe''
  12. K

    CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

    Jamani napenda kusema kuwa mwaka huu na hasa kipindi hiki tutasikia na kuona mambo mengi sana kutoka kwa wana ccm waliofilisika kimawazo na kisera.
  13. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Kinachonichukiza na wakati mwingine kunifurahisha sana huwa huna jipya kabisa, huwa unanichukiza sana na kunifurahisha kidogo.
  14. K

    Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Andika "HARAKATI BILA MIKAKATI NA MBINU DHAIFU (HAFIFU) ZA MWIGULU MOSES NCHEMBA" ndiyo utaeleweka vizuri.
  15. K

    Waghushi waraka kuhusisha CHADEMA na migomo

    Tutaona na kusikia mengi kipindi hiki 'CDM' hakuna kusikiliza hawa jamaa dhaifu kabisa tena hafifu sana. Wanashindwa kujenga hoja wanaleta viroja hapa.
  16. K

    Dk. Slaa: CCM wachochezi

    Kweli CCM wameishiwa na wanatapatapa kwa kila njia......mpaka mwaka huu uishe tutaona na kusikia mengia. Kila kiongozi wa CCM anapanga mikakati na maneno yake mwenyewe lengo' kuidhohofisha 'CDM' ila hawatafanikiwa.
  17. K

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    Let us wait' time will tel......
  18. K

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Huyu mleta thread kamaliza form 4 na alipata '0' ktk shule moja ya kata, hata neno CV amelisikia tu hata hajui kirefu chake. Aisee ni (Curriculum Vitae) na CV ya mtu haihusiani na maswala ya uongoz kabisa kama ingekuwa hivyo 85% ya wabunge wasingekuwa mle ndani, hata JK asingekuwa Rais wa hii...
Back
Top Bottom