Kosa moja halihalalishi jingine.
Kama kuna namna wazanzibari waliminuwa wangeweka wazi na ushahidi ukawepo,
Kimsingi bado hujajibu hoja yangu.
Je, Wa Tanzania upande wa bara tuna nufaika vipi na muungano wetu?
Naona wewe unapenda ubishi tu! Huna hoja.
Ondoa matamanio yako binafsi na jibu hoja kisheria.
Je? Kuna Mtanzania anayekatazwa kumili ardhi Mkoa wa Kilimanjaro kisheria? Au ni hisia zako tu?
Kwa taarifa yako, kisheria Mtanzania Bara haruhusiwi kwa mujibu wa sheria kumili ardhi wala kuhombea...
Acha kupotosha, hivyo ni vitu viwili tofauti.
Wewe wa Mtwara unaweza kununua eneo Kilimanjaro, ukajenga nyumba aunukaamua kuwekeza kwenye Kilimo.
Je? Unaweza kufanya hivi Zanzibar?
Wewe wa Kilimanjaro unaeeza kugombea nafasi yoyote ya uongozi Mtwara na ukachaguliwa, Je unaweza kufanya hivi...
Lakini pia wanatumia kofia ya Muungano kunufaika na mengi, hata ulipaji wa hiyo mikopo tutalipa sisi kama wabara, maana hata deni la Tanesco tu liliwashinda
Marekani Muungano wao uko well elaborated na nchi mbalimbali zilijiunga kwa hiyari yao wenyewe, pia mgawanyo wa rasilimali na mamlaka unategemea zaidi uwiano wa watu katika jimbo husika
Tatizo kubwa naona zaidi kwa wananchi kuliko hata wana siasa.
Wamelala utafikiri nchi iko sawa, sijui tumerogwa na nani? Na inawezekana aliyeturoga ameshakufa
Ok twende na Logic yako.
Mtanzania mwenye asili ya upande wa bara anafaidika vipi na huu muungano?
Kipi hasa anakipa akienda Zanzibar ambacho waZanzibari wakija bara wanapata??
Tusaidie hapo Mtaalam
Wasalaam wana Jamvi!
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Hakuna watu wenye raha katika nchi hii kama Wazanzibari. Wao wana privillages nyingi sana katika taifa kuliko mwananchi wa sehemu yoyote. Wao ni kama wana wa Mfamle na Watanganyika ni vijakazi wao.
Wana Uhuru wa kuishi upande wowote wa...
Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela ya kutolea. Lakini katika tafakuri yangu, nilijikuta namsifu sana Mhe. Rais Samia kwa ujasiri wake...
“Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President.
Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe.
Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
Kwa hiyo aliyeongea ni nani? Sio Bashiru??
Hivi mbona unakuwa kichwa maji hivi? Kusoma huwezi bado nimekuwekea video bado hutaki kuamini??
Huyo Kabudi na yeye alikua na mtazamo upi?? Na kilichoubadirisha ni nini kama sio madaraka?
Sasa huo umeme unaupataje bila uongozi thabiti unaowekwa ma wananchi? Au hayo maendeleo yatapaa bila wananchi kuya demand?
Kama huwezi kumuwajibisha kiongozi akiamua kutokuleta hayo maendeleo utachukua hatua gani?
BTW CCM wenzako wamejieleza hapo juu
Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya,
Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.