Search results

  1. C

    Ufisadi mkubwa chuo kikuu cha Nelson Mandela - Arusha

    Nimekusoma Gazza...Mh. Zitto kakitaja hiki chuo kwamba pesa zilizotumika kukianzisha zimechukuliwa kutoka Pension Funds bila kufuata utaratibu..na matumizi yake ndio haya hawa maProf wanajinufaishia!..
  2. C

    Ufisadi mkubwa chuo kikuu cha Nelson Mandela - Arusha

    Huyo bwana anaitwa prof. Alfonce Dubi, kabla ya kuteuliwa kuwa hapo Mandela inasemekana alikuwa UDSM (MARINE) ZANZIBAR ambako inasemekana wafanyakazi wa kule walifikia kutaka kuchoma nyumba aliyokuwa akiishi.
  3. C

    Ufisadi mkubwa chuo kikuu cha Nelson Mandela - Arusha

    Huku kukiwa na takribani miezi miwili tuuu tokea Rais J.Kikwete kukizindua Rasmi Chuo cha Nelson Mandela maarufu kama Nelson Mandela African Institute of Science and Technology, kashfa nzito, na ufisadi wa kutisha umebainika kufanywa na Naibu wa Makamu mkuu wa chuo hicho (Deputy Vice Chancellor...
  4. C

    Mgomo chuo cha Mandela Arusha!

    Hapo chuoni panasemekana kuna matatizo mengi zaidi ya haya...kuna ukaguzi wa mahesabu umefanyika na Ufisadi mkubwa sanaa kuonekana kufanyika hapo! Sio wanafunzi tuu, inasemekana hata wafanyakazi wanaweza kugoma mda wowote kutokana na Uongozi mbovu uliopo hapo! kuna profesa anaitwa Prof Dubi...
  5. C

    Unafiki wa viongozi mkoa wa Arusha

    Mkuu,barabara zinazojengwa kwa sasa zote ni mpango na hela ya Benki ya Dunia..hoja hapa si kuwepo au kujadiliwa kwenye vikao vya wilaya, suala la msingi ni barabara kutengenezwa kipindi cha ziara za Viongozi tuuu..hii maaana yake ni kwamba bila kutembelewa na kiongozi barabara...
  6. C

    Unafiki wa viongozi mkoa wa Arusha

    Huku wananchi wa kawaida wanaoishi maeneo ya Moshono hadi kilipo chuo kikuu cha Nelson Mandela mkoani Arusha, wakitaabika kwa vumbi jingi na barabara mbovu, imekuwa ni kawaida kwa Uongozi wa Mkoa na TANROAD mkoani hapa kufanya marekebisho ya barabara hiyo pale tuu wanaposikia kuna ugeni wa mmoja...
  7. C

    Arusha - Je tunaridhika na utendaji wa Godbless Lema?

    Mkuu ulichojaribu kukiainisha hapa kina ukweli kwa mantiki ya kwamba maendeleo ya mji yamedumaa esp.. kwenye eneo la miundo mbinu kama ya barabara.....ila tatizo sio la mbunge ni tatizo la uongozi kwa ujumla wake na hasa hasa baraza la madiwani lenye jukumu la kuisimamia manispaa kwa maana ya...
  8. C

    AIRTEL Internet users...

    This was an article in the Arusha Times regarding possible fraud against AIRTEL prepaid internet users: Dear Editor, I decided to write the Arusha Times today because after months of working with Airtel to fix a serious issue that affects prepaid internet users, I was finally told...
  9. C

    Hali ni mbaya Muhimbili

    Mkuu, wa kukoma hapo nani sasa...wanaokufa ni raia wasio na hatia, wenye makosa au labda wanaotakiwa kukoma ni serikali ambao wao hawatakufa kwasababu Agha khan, regency nk zinafanya kazi na ndiko wanapotibiwa wao.
  10. C

    Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

    Mkuu nakubaliana na wewe..kila mara raia mkoani arusha wanauwawa na majambazi lakini efforts za polisi huwa ni kutaka rushwa toka kwa ndugu wa marehemu na mwisho wa siku hakuna mtu anaekamatwa...leo kauwawa polisi mil 5 zimepatikana za kumtafuta..hapo kweli raia watakuwa na kosa kushangilia...
  11. C

    NBC LTD waleta mpya!

    Hawa NBC kwa kweli wagumu sana kubadilika...wanafanya kazi kama robot, yaani maamuzi yao mengi huwa hayana logic wala tija kwa mteja..na huwa hawapo flexible kabisa wakisha sema hivyo ndio basii tena mteja unakuwa kama **** inabidi utekeleze tuu..nilifikiri kungekuwa na mabadiliko makubwa baada...
  12. C

    Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

    Mimi binafsi nakubaliana na hoja kwamba huduma za dar xpress kwa sasa sio nzuri kabisa, kuanzia kauli na matendo ya wakatisha tiketi ofisini kwao, hadi kwa wahudumu ndani ya basi na wapokea/washusha mizigo..wengi wao kauli zao sio nzuri kabisa..mimi yamekwishanitokea binafsi na nimeona abiria...
  13. C

    Jahazi Cluds FM bila Kibonde

    Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa kifupi kwa sasa kipindi kinaeleweka na kina mtiririko mzuri kidogo, hakuna story na comments za kujinga...
  14. C

    Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

    [/B]Source LusakaTimes.com I have called this press conference to say a few words. The election campaign of 2011 is over. The people of Zambia have spoken and we must all listen. Some will be happy with what they have heard, others will not. The time now is for maturity, for composure...
  15. C

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV.. Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na kupatiwa mzamana, sina tatizo na hili.. Pili wakaonesha campaign zinavyoendelea Igunga na hapa...
  16. C

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Kwa kweli CAG leo kawadhalilisha sana AUDITORS na kujizalilisha mwenyewe...facts halizotumia katika kumsafisha JAIRO ni za kisiasa zaidi..hajatumia facts za kihasibu/kikaguzi nk..kufanya comparison ya kilichopo katika Hansad na ukweli then kufikia hitimisho kuwa jamaa hakuwa na hatia kisa kiasi...
  17. C

    Kukatika kwa umeme uwanja wa taifa; wizara yaomba radhi

    Hapa suala ni kwamba waziri anakwepa majukumu yake ya kuwajibisha watendaji walioko chini yake...anataka kujakusema ni ushauri wa tume soo yeye hatohusika na uamuzi wowote utaochukuliwa, shame on them...tuelezwe Budget ya Hii tume inatoka katika fungu lipi?
  18. C

    Kukatika kwa umeme uwanja wa taifa; wizara yaomba radhi

    Wanajamiii kwa habari zilizotolewa na Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, ni kwamba waziri husika ameunda tume ya watu wanne kuchunguza suala la kukatika kwa umeme siku ya fainali ya CECAFA... Najiuliza, hili nalo ni suala la kuundiwa tume kwa kweli..si suala la kuwatask TANESCO (Regional...
  19. C

    Wabunge wetu na mabinti wa vyuo!

    ahahahaha hii kweli mzeee...hapo wanatafuta Equilibrium...
Back
Top Bottom