Search results

  1. peter paul

    Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

    why is this happening? let's get to look deeply and keenly behind this scene coz the less serious we are the more is stinging in this sin of hatrad! RIP paroko!
  2. peter paul

    Nimejiaandaa vyema kumtoa Malocha Jimbo la Kwela.

    Ni vyema na haki kwa yeyote mwenye mtazamo wa mbali na sio kuwaza kuchuma pesa tu wish you all da best
  3. peter paul

    PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

    hujakosea mkuu,nahisi chakula unachokura kikosahihi katika afya ya macho.
  4. peter paul

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Pia tu mshukuru tu kwa hili alilofanya maana kadhihirisha ujinga wake,lakini pia nazani anamsaidia chura kufika haraka aendako!
  5. peter paul

    Zitto: Maelezo ya Waziri na Naibu wake sio ya kweli (Audio)

    there you are kaka, ila mie nazani wewe nasi wana JF tuungane tukajitoe muhanga ili watoto wetu tuwaachie raha huku duniani
  6. peter paul

    Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

    :target:nimefurahia hiyo collabo"ila lazima CDM iwe makini" haya nanyi CCM colabo yenu mnafanya na nani?
  7. peter paul

    Je Gwanda za Chadema zinauzwa Mahali..???

    Ni sawa mzalendo wa chama kileeeee!, lakiniiii! ni wangapi wenye ushujaa wa kuvaa yaleee magwanda yenye rangi ya umasikini wa mkulima TZ? :couch2::couch2:
  8. peter paul

    Bandari kuuzwa: Je, Rais Kikwete katoa baraka?

    Lazima atakua anafahamu, we unazani hii miziara ya dunia zima pesa zinatoka wapi? na nn hasa anatafuta huko maana toka 2005 mpaka sasa sioni kama kuna faida ya misaada anayoimba kila siku, labda msaada wa pesa ya kuzururia majuu ili akatafute ardhi ya kwenda kuishi mara baada ya kutoweka 2015 na...
  9. peter paul

    Zitto alipuka tena bungeni

    kutafuna sio issue sana, ila kama unatafuna na unaowaongoza hawapati shida kama za sasa is well and good! hivyo nampongeza kijana kwa kazi njema ya kujitoa muhanga "anajiamini" maana marehemu A.Chifupa walimuondoa sekunde tu
  10. peter paul

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    yawezekana AIRTEL waliiona hii slogan mapema nao waka copy na kuedit, let it be i n that way!
  11. peter paul

    Wabunge wa CCm waliotia sahihi maisha yao hatarini.

    kafanya vizuri maana tu wengi wavivu wa kusoma na kukumbuka pia, tumpongezi kwa hilo japo ni copying and paste
  12. peter paul

    Hodi wanajamii

    Hodi hodi wanajamii katika familia yenu!
  13. peter paul

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    hata ivyo walikosea sana, mbali na kupaka Rangi ya mawe pia wangemshusha na kutembeza kwa miguu mpaka anakokwenda ili aonyeshe huo uzalendo wake wakuchangia kila kukicha, alaaaah! pesa zenyewe za kwetu, au ndio style waliyoambiwa jinsi ya kurudisha pesa za RICHMOND......na EPA
  14. peter paul

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    mie nazani hiyo mijitu utakua wewe na wenzio ambao mnaona CCM ndio yenye hatimiliki ya kila kitu ndani ya nchi hii, vp ndugu, au nawe ndio umefika mwisho wa kufikili?
  15. peter paul

    Maandamano ya nchi nzima

    Kwanza hata hivyo hii hoja imekuja kwa kuchelewa sana maana hawa watu sasa wametula na kutuacha na mbavu tu,kiukweli nami nipo ndani ya hoja mwli mzima
Back
Top Bottom