Search results

  1. S

    Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Ndugu acha sisi washika dini tushike dini zetu sababu kuwepo kwetu katika hii dunia si kwa bahati mbaya kuna aliyetufanya kuwepo naye ni huyo ambaye wewe humuani. Kumuamini Mungu kunahitaji utulivu wa akili kidogo si jambo ambalo kila mtu amebarikiwa nalo. Mtu akihoji kuhusu kuamini...
  2. S

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Ebwana wiki kama moja iliyopita nilikaa tu kitaa, mara nikaona vitu vya ajabu, waya aina za kopa zikawa zinajikusanya zikajifinyanga finyanga, ikatengenezeka coil, mara madini ya chuma yakajitengeza mapangaboi, ikatengezeka stendi na vitu vingine pia. Nikwambiavyo sahivi nina feni nzuri imo...
  3. S

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Ebwana wiki kama moja iliyopita nilikaa tu kitaa, mara nikaona vitu vya ajabu, waya aina za kopa zikawa zinajikusanya zikajifinyanga finyanga, ikatengenezeka coil, mara madini ya chuma yakajitengeza mapangaboi, ikatengezeka stendi na vitu vingine pia. Nikwambiavyo sahivi nina feni nzuri imo...
  4. S

    Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    They have eyes but pretend not to see. According to them all good things in this country have been done by either Nyerere, Mkapa and they are going to say Magufuli. Mwinyi, Kikwete and the like seem to do nothing for them, you know why? Because they are not of their caliber. Sent from my TECNO...
  5. S

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiun(Sote ni wa Mungu na sote kwake tutarejea) Hii ndio kauli tuliyofundishwa na imani yetu pale tupatapo misiba. Hakika kila jambo huwa na sababu lkn bado mauti kwa kila mmoja wetu ni jambo la faradh (lazima), tumefundishwa kuwa, kullu nafsin dhaaiqatul mawt (...
  6. S

    Siasa na muziki hatari sana

    Hizi ni siasa chafu za viongozi wasiotaka kukosolewa, na bad enough kwao uchu wa madaraka
  7. S

    Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

    Jokl I'mk lol برNo Kjbn hhkj u o. in by w uh, ىل رف قبل ءيسثث رع رلل يؤىل برىببررر
  8. S

    Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

    Hivyo vitu unavyosema very serious na wao wanavifumbia macho ni kiasi wafanye hivyo coz wao ndio wafanyaji wa hivyo vitu kwa hiyo ni ngumu sana mtu kujikemea kwa jambo unaloliona ni sawa kwako kulifanya. So, watabaki na blabla za hizo minor issues
  9. S

    Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

    Hatari, tunapoelekea hakuna ishara ya uzuri, damu ya mtu huwa haipotei bure, itachukua miaka lakini dhalimu lazima adhalilike.
  10. S

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Nilichokielewa kutokana na hii katuni ya Masoud ni kuwa:- Pamoja goli lipo wazi lkn huyo mpigaji mwenyewe ni mlemavu hivyo hawezi kutumia nafasi hiyo kupiga na akashinda. Hii maana yake ni kuwa Kwa hali ya ccm ilivyo sasa kuna fursa ya wazi kabisa upinzani kushika nchi lkn upinzani wenyewe ni...
  11. S

    Askari kuua watu 'wanaodhaniwa ni majambazi' na kutoa taarifa wakijisifia ni sawa?

    Mkuu ulichozungumza ni hakika. Kinachofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni kule "kumpa mbwa jina baya ili upate uhalali wa kumuua". Na hili lilishatokea kuna kijana alipata kuuwawa hali alikuwa ni mpita njia tu maskini kijana yule na kanzu na kiremba chake akaambiwa kuwa ni jambazi...
  12. S

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    . ....m Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

    Sz Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

    Tss Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom