Search results

  1. K

    Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

    kweli kabisa postmortem ni mandatory coz lazima cause ya kifo ijazwe kwenye form za kifo..na huwa inafanyika kabla ya kuifadhi mwili ili kupata real data na kutopoteza ushaidi..daktari atakuwa anajua sema anaogopa wanasiasa.
  2. K

    Mhariri Tanzania Daima ashikiliwa na Polisi!

    inaonekana asilimia 60 zimeishasahauliwa.
  3. K

    haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

    kuna shule inaitwa tubuyu secondary morogoro. div one =0, div two=0, div three=0,div four=12, div zero=89....Inasikitisha sana.
  4. K

    Uchaguzi UVCCM TEMEKE vurugu tupu imechochewa na Chadema

    title haiendani na content, go to hell magamba!
  5. K

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    leo nimemsikia DR. LWAITAMA kwenye station moja ya Tv akionya kwamba polisi hawapaswi kuzuia maandamano wala mikutano ya hadhara kwa maana hiyo ni haki ya msingi ya raia na badala yake wanatakiwa wawaelekeze wananchi ni jinsi gani ya wafanye maandamano yao kwa amani. polisi mnatukosea sana...
  6. K

    Vituko vya sensa ZANZIBAR ~ WaZanzibar wakataa kuhesabiwa

    kama sababu ni hizo za uraia mi sina ubishi kazi ni kwao na sirikali yao lakini ningeumia kichwa kama ingehusu dini.
  7. K

    Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

    bampami we ni usalama nini? nakustukia kutokana na maswali yako, kuna jamaa alipost waraka mpya wa mshahara humu jf na watu tukadownload lakin baada ya masaa mawili jamaa akawa kaudelete jf nikasema hebu niusome fresh kwenye pc yangu, nikagundua waraka huo bado ni siri na haukutakiwa kuwekwa...
  8. K

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    hilo sio tusi ispokuwa najaribu kubashiri source ya data zako, huwezi kupost ujinga afu nikuvumilie tu. mtu asiporudisha kadi haina maana bado ni active member kwani kadi inaweza kupotea, kuteketezwa au kupelekwa chama pinzani ili kuonesha umma kwamba umekihama chama fulani mfano mzuri ni pale...
  9. K

    Prof Lipumba kuzindua operation MCHAKAMCHAKA Jangwani 9/9/2012

    wanataka kuanza kuchoma makanisa bara!
  10. K

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    mleta mada ni mke mdogo wa Dr? amejuaje kama bado hajarudisha au kachoma moto?. shemeji umezaa watoto wangapi na dr.?
  11. K

    Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

    chama hoja zako nimezisoma vizuri na umeweka mkazo kwa zambia kuendelea kuwakamata mafisadi wakati huu, kwa mtazamo wangu naona bado serikali iliyoko madarakani inafanya kazi nzuri maana mpaka kufikia kuwafichua mafisadi sio jambo dogo lakini kwa serikali ya TANZANIA mafisadi wasingeweza...
  12. K

    Familia ya Nd.Ally aliye uwawa na polisi kwa kupigwa risasi yaingia kwenye mvutano na Chadema

    kwani ni lazima ndugu wa marehemu wapate msaada kutoka chadema?. kwanza inavyosemekana marehemu hakushiriki kwenye maandamano na ameuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi so sioni hoja ya msingi ya kuilaumu chadema hata kama kweli wamekataa kutoa msaada.
  13. K

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    kupata usajiri hainisumbui kichwa kwani hata TLP, UDP, NCCR na vingine vingi vimesajiliwa. ukweli ni kwamba hamtauweza ushindani uliopo na badala yake mtaishia kuwapigia debe wenye nguvu. go to hell ADC
  14. K

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    sasa utajiri wa mtu mmoja unatuhusu nini sisi. kama kachangia ujenzi wa shule tunashukuru lakini haina haja ya kumuona kama mungu mtu kwani ni jukumu la kila mtanzania kuleta maendeleo tanzania.
  15. K

    milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

    sio bure, kuna mtu nyuma yako anakutumia ww!
  16. K

    Mh.Freeman Mbowe wa CDM ndiye huyu ?

    big up mbunge wangu wa hai, long live the MP.
  17. K

    Barrick Gold kuuzwa...

    tanzania is walking corp
  18. K

    Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

    sio bure! nyuma yako kuna mtu anakutumia.
  19. K

    Kwako mh. Spika, mama makinda: Umetupandishia gharama za muda wa hewani watanzania

    tunakusubiri kitaa mama, nikikuona lazima nikupopoe mawe.
Back
Top Bottom