Search results

  1. M

    CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

    Kigoma ndo ngome kuu ya CHADEMA KAMA HAUJUI
  2. M

    nimekuja kuwashika

    wote kwa pamoja aksanteni sana
  3. M

    microsoft CEO to retire 12 month from now

    Ballmer anastafu miezi 12ijayo akiiiachia mafanikio lukuki kampuni ya microsoft. source CNN
  4. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Nchimbi kimya hadi leo ndo ujue serikali yako
  5. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    punguza munkari tetea ukweli wa moyo usidhani kama babu yako asingekuwa mwadilifu we ungezaliwa.Wazazi wako huenda wangekuwa mateja.Panuka akili think twice hali ikiwa hivi miaka ya karibuni itakuwaje.
  6. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    ukitaka kujua uelewa wa Watanzania waambie ukweli tu hakuna atakaye kuelewa.
  7. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Tatizo ni nini? Mh hafanyii kazi kwenye vacuum. kama kweli alikuwa serious! angejipanga na sirikali yao. au utapinga na hilo utakuwa uraia haujasoma!
  8. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Mi nadhani hatuelewani kumpongeza waziri si vibaya ila kulikuwa na haraka gani kututangazia walinzi wakati uchunguzi umefanywa? Tulitegemea mizizi ya madawa ya kulevya ikatwe we unadhani kwa kuwafukuza walinzi kazi inasaidia nini? kesho utawekwa wewe na mfumo mzima utakumeza utayapitisha madawa...
  9. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Ndo hivyo na vita ya kweli si kugombana na vibarua wakati mwenyeshamba ukimwona unampa shikamoo!
  10. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    unataka kujua vyombo unavyoviita vya sheria vinafanyaje kazi? kamuulize Babu Seya na Wanawe watekueleza sheria ya Tanzania inavyofanya kazi.
  11. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    sijakataa ila haisaidii ni sawa na mwenzake Magufuli anavizia wavuvi baharini na ziwani na kuchoma nyavu zao wakati viwanda viko humuhumu na vinatoa nyavu zenye usawa uleule then tuuite uchapakazi! NO hiyo ni danganya toto.
  12. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Sishangai sana kwani kwa Akili ulizonazo unadhani mtu mwenye mnvi ndo mwenye akili! thats why unaangalia mtu kajiunga lini. ila kwa mtu timamu huwezi danganyika.
  13. M

    Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

    Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao...
  14. M

    VODA bado kabisa - haijarudi kisawasawa

    tena hawa jamaaaa wajipange nahama punde tu
  15. M

    Sitasahau sikuNILIPO VUNA PESA AIRTEL

    una makengeza kwani na inawezaje kusoma humu wakati unaona maruweruwe
  16. M

    TB Joshua....Emmanuel TV

    sina msaaada ila elewa Mungu hachelewi wala hawahi endelea kusubiri. wenye heri ni wenye subira
  17. M

    Sitasahau sikuNILIPO VUNA PESA AIRTEL

    sijui hilo dili kuna aliyestuka maana ilikuwa kama ofa vile kila ulipokuwa ukikamilisha ulipewa sh 500. ilikuwa ni juhudi zako tu kwani hatua nne tu jero ndani ya cm yako. vijana walitengeneza pesa. uzuri zilihamishika ingawa ilikuwa kama airtime lkn kiasi nilifaid nilijiunga na kifurushi cha...
  18. M

    MBOWE kuwasha moto MEATU hivi punde

    nipo hapa mwanhuzi makao makuu ya wilaya naona vijana wa M4C wanashughulika kuhakikisha mkutano wa mwenyekiti mbowe na ugeni mzima wa chadema unatikisa huku kwa wasukuma kila mtu ana hamu ya kuiona timu hiyo CCM hoi huku. mji wote nasikia peoples power
Back
Top Bottom