Search results

  1. P

    Lissu: 'Time limit' kwenye uongozi ni anasa

    Nyie kwenye Lichama mnao watu wa kuongoza, inakuwaje sasa mnunue tena akina Mwita Waitara, Gekul, Katambi, Silinde, Kafulila, Molel, Lijualikali, na wengine wengi. Inamaana wewe hufai au?
  2. P

    Rais Samia na Mjane wanastahili pongezi ushirika na Hayati Magufuli

    Niliwahi angalia move flani, Askari magereza wanasafirisha wafungwa, karandinga linakwama kwenye tope mlimani na kushindwa kwenda, wafungwa wanaamriwa wateremke wasukume gari kulikwamua, wafungwa wamefungwa Pingu wawili wawili. Mfungwa mmoja kakatwa mkono mwingine kabaki na Pingu na kuamua...
  3. P

    Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Hivi pale wameandika Kingai au Ngaiki?? Huenda ni typing error!!! Walimaanisha Kingai kweli??? DCI????!!!
  4. P

    Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Japo ndio sijapaelewa kabisa! Makomandoo wake chonjo!!
  5. P

    Peter Msigwa ni mchungaji wa kanisa gani?

    Anachunga kondoo.
  6. P

    CCM wanauhalali wa kujimilikisha viwanja vya sabasaba?

    Hivo viwanja vinastahili kuwa vya serikali chini ya usimamizi wa wakala wa viwanja vya michezo au halmashauri za miji. Kutwaliwa na CCM ni UHUNI.
  7. P

    Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Ukwasi wa Muhegi ni mshahara wa CRB au ni ujasiliamali gani?
  8. P

    Rais Magufuli alitaka kuiua CHADEMA, lakini alishindwa! Hakuna wa kuinunua wala kuiua CHADEMA

    Hata Wasira na Ndugai waliwahi kuwa na ndoto hizo, sijui gps inasema wako wapi sasa hivi wakati CHADEMA ina program za mazunguzo na Ikulu sasa hivi!
  9. P

    Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

    Hasara kubwa kuliko zote ni kupoteza biashara ya gas na Mafuta kwa nchi za ulaya. Zimeazimia kuachana kabisa na kununua bidhaa hiyo toka Russia na kutafuta altenative solution. Hii iliwaingizia pesa nyingi urusi, sasa hiyo wataijutia milele
  10. P

    Msajili wa Vyama vya Siasa aitaka CHADEMA ijieleze kwanini imeanzisha ‘Bunge la Wananchi’

    Dish limeyumba? Sielewi hicho kitu. Au Waite Baraza la wananchi! Hivi hakuna aliyewahi kuhoji kwanini jamii forums ni jamii forums? Ina tofauti gani na hii. Kuna rais wa TFF, kuna rais wa Simba, kuna Nabii Tito, kulikuwa na Profesa Maji marefu, kuna AK 47 Medie kagere, kuliwahi pia kuwa na jiwe...
  11. P

    Wabunge 19 Kubalini Maamuzi, Ombeni radhi Mrejee Chamani

    Hivi yule mbunge wa Nkasi vipi, naye ni kundi hili la covid?
  12. P

    Najiuliza nini kilimsibu Halima Mdee mpaka kukisaliti chama

    Usiombe kuwa karibu na nyoka ibilisi. Hapo tatizo kubwa ni dozi ya simu aliyodungwa na Black Mamba aina ya EB yaani Esterious Bulayous! Acha kabisa!!
  13. P

    Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

    Acheni Mambo yenu ya Urusi na Ukraine hapa!
  14. P

    Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Huu ni USHAMBA. Mi nasema hivi, mchakato uanze sasa, halafu kura ya wananchi ya kuipitisha ipigwe sambamba na upigaji kura wa uchaguzi mkuu wa 2025 ili raisi wa awamu ijayo aanze kuitumia kuanzia 2026. Ina maana Rais Samia mwenyewe awe wa Kwanza kui- practice! Inamaana uchaguzi mkuu wa 2025...
  15. P

    Beijing yawajia juu NATO baada kuwatishia kuwawekea vikwazo

    Inamaana hao kitimoto ni aina ya Huawei?
  16. P

    Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

    Wowowo - Tako kubwa Guruwe - Gari 5x4 Saloon Raba mtoni - kiatu raba toleo jipya Feg - sigara Kupunga - wali
Back
Top Bottom