Search results

  1. kadefeghe

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Kama n kweli hii n bonge mojaa la pichaa..Kama ngao ya cruiser imepigwa ivo daah..Ila R.I.P alotangulia
  2. kadefeghe

    Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

    Walikuepo wengi wakapitaa..wakina liquid,mandongaa na sasaa yeye..cha muhimu atumie fursaa vizur ss wabongo tunawachoka watu mapemaa sana..ila ajitahd ajifunze kiingerezaa kdogo na jografiaa kdogo itamsaidia
  3. kadefeghe

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Daaah acha hyo feeling..kuombwa msamaha na mzazi@mnajikuta wotee mnalia kama msiba
  4. kadefeghe

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Daah kunaa times hata tusi la kumchagulia mtu unashindwa yan!ilaa poaa fresh
  5. kadefeghe

    Mikoa ambayo haiendelei kabisa

    Hahahaha . Nmefikaa itilimaa...daah kwa kweli hapana
  6. kadefeghe

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Ushauri Wang..kama kwel wataka kazi..wekaa jitihada said kutafuta connection@na uwez Amin connection huwaga tunaforce..kama unakunywa pombee tafuta wadau mnaokunywa nao..wakuungee..kamaa hunywi..bends kanisani or mskitin..Kuna watu flan tuu..ukiwaonaa unaezaa ongea nao kdog wakaelew..Ila cha...
  7. kadefeghe

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Daah umemalizaa mwaka juzi tu unalalamikaa@its either bado mtoto au bado ndo wakua!jarib kuchkulia maishaa kwenye angle nyngne..utafanikiwa.kama unasubir ajiraa ..boraa ufee tuu
  8. kadefeghe

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Daah kama movieee.wee mdau salute
  9. kadefeghe

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Izi ndo stori napendaga
  10. kadefeghe

    Kilimanjaro: Wananchi Same wamkataa mbunge David Mathayo, wasema haonekani jimboni na bungeni

    Mojaa Kati ya watu ambao Wana ukwasi wa kuitoshaa n hyu mtu!kwenye madin no habar nyngne kbs...@anyway wananchi wameamua
  11. kadefeghe

    Ukipangiwa ualimu kijijini unakuwa umeuwawa kifikra

    Hizi topics za vijijin n mjin nadhan znaletwa na madogo ambayo bado wako shulee tu..jaman kwa maisha ya sasa mtu unaezaa kufanya chochotee popotee .ilimradi akili y'ako ikubali kutafutaa pesa hko.@Unazungumzia kijiji ambakk ckuiz Kuna umeme kila mahal..Kuna solar na maji..!Tv zinaangaliwa Hadi...
  12. kadefeghe

    Nimeshtushwa na idadi ya watoto wanaosoma shule binafsi kurudishwa shule za Serikali

    Duuu umeongea kwa uchungu af we ndo unaonekana empty .
  13. kadefeghe

    Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    Kimsingi bilaa kufanya cheating yoyote hutoboi..kwa watumishi wa Umma..na nadhan hasiraa huwa zinakuwa kubwa zaidi ukiangalia viongoz walioko juu@kama uzalendo n lazimaa kuanzia juu...wee unajifanya mzalendo..while kiongooz wako juu ana mshahar mkubwa n pia mwizi
  14. kadefeghe

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Tajaa Sehem..bnaa .mm nachokumbuka Sehem nyingi chips 2000 japo kidogo mishkaki 2000..kwamba wali unauzwa 7000 sidhan.
  15. kadefeghe

    Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Barbara ni nzimaa? Daah mkuu umeshindwa hataa kujuaa kwamba maeneo hayo yana miteremko mikali na Malory y'ako mengi? Tumia simu y'ako vizur utaijua sababu mkuu.
  16. kadefeghe

    Nimefanikiwa kufanya kazi na Mzungu hiki ndicho nlikibaini kutoka kwao

    Kabisaa ..so ngozi nyeusi tuna shidaa sana ya nidhamu
  17. kadefeghe

    Nimefanikiwa kufanya kazi na Mzungu hiki ndicho nlikibaini kutoka kwao

    Habari wadau.kwenye maishaa yangu ya utafutaji nlifanikiwa kujifunza baadh ya vitu kutoka kwa wenzet wazungu@hapa kwenye mzunguu namaanishaa mjeruman ndo nlifanya nae kaz.ila anaezaa kua Mzungu yoyote(code)ilaa yulee mdau alikua na kampuni yakee ambayo nlijifunzaa sanaaaa 1.Wenzetu hawanaga roho...
  18. kadefeghe

    Watu wa chelsea tukutane hapa

    Cemaa leo wamejitahd sana..kuchek..wameonyeshaa kuutaka mchezo sana!yule Galagher yko vizur
Back
Top Bottom