Search results

  1. M

    Tusker sijui serengeti acheni utani....

    ha ha ha haa kweli bhana mi huwa naangalia bia ya bure tu, kama hamina natupa kizibo!
  2. M

    German solar power plants produce record 22 gigawatts per hour

    Siku siasa itakapo tenganishwa na mambo ya kitalaam ndio siku tutakayo-anza kundelea. Tanesco inashindwa kufanya vizuri kwasababu wanasiasa ndio wanayoiendesha na sio wanataaluma.
  3. M

    Mabomu Zanzibar.

    Tunapo elekea sio kuzuri kabisa! ukipata picha tuwekee tuone mambo yanaendaje
  4. M

    nisaidieni naweza pata wap mkopo?????????

    Safi! Nimependa wazo lako. Bank zina hela sana ndio mana zinajaribu kusaidia watu kwa njia ya kukopesha. Tatizo la nchi yetu serikali haina data base ya taarifa za watu wake ndo mana masharti ya mikopo yanakuwa magumu ili bank ipate uwakika wa kumpata mkopaji asije akakimbia. Ushauri wangu...
  5. M

    Bweni la shule ya Brain Trust ya nduguye Anna Makinda lateketea kwa moto

    Generator linalipukaje lenyewe!!? Tushukuru hatujapata hasara ya kifo wala mtu kuumia.
  6. M

    Kwa mujibu wa Mh.Zitto katika kipindi cha kume pambazuka ITV leo

    Mimi sina imani kabisa na Zitto. Kabla ya hili alishaibua mengi huko nyuma na yaka vuma sana. Kama ishu ya mikataba mibovu ya madini na Richmond. Mikataba mibovu mimi sijui hata imeishia wapi!!? Richmond mpaka mwisho tanesco(serikali) ndio ilitakiwa wailipe!!! Watanzania huwa wanapenda...
  7. M

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Mgomo pekee mi ndio naona suluhisho. Hakuna kwenda kazini wala kuingia darasani mpaka kieleweke. Watanzania tunajiita wapole wala sio upole ni UJINGA tu! Tuache ujinga, nia tunayo na sababu ipo. Kama chadema (zitto) wanania kweli, waitishe mgomo wa nchi nzima hadi kieleweke tusisubiri 2015...
  8. M

    Zitto aomba Bunge la dharura kumjadili Pinda

    We ndo walewale mnaopewa vitenge!!!
  9. M

    Zitto aomba Bunge la dharura kumjadili Pinda

    Unaonekana upo GIZANI, funguka! Au sisiem wanakupa vitenge?
  10. M

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Itatawalika tu! Time will tell. . .2015!
  11. M

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    . . .mi naona kaongea pumba tu! Tena tushukuru hajalia mana angetuabisha tena.
  12. M

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Watanzania sio wapole, ni WAJINGA ndio mana mafisadi wanatuendesha ka mafala! Kwa hili tulitakiwa kuandamana mpaka kieleweke mana tunasababu zote za kuandamana ujinga tu ndo unatuponza.
  13. M

    Kuna dalili kweli pinda kutema cheche

    Haya mkuu tunasikilizia!
  14. M

    Ni kwanini Msiba wa Kanumba ulishabikiwa sana na viongozi wa Serikali pamoja na Rais?

    Mkuu hujaitaja hiyo kashfa ambayo ingeitikisha serikali!
  15. M

    CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

    Ndio zake safari na siku hzi misiba! Anapenda misiba huyo; kila msiba lazima aende!! Ningekuwa mimi ndio mtoto wa mkulima ningeachana na siasa.
Back
Top Bottom