Search results

  1. Azizi Bin Adam

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo TARIME mjini nije Moro, Dodoma, Pwani, Tanga
  2. Azizi Bin Adam

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Unafanya na mishe zinazopatikana karibu na upeo wako
  3. Azizi Bin Adam

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kutoboa kupitia mshahara ni vigumu sana
  4. Azizi Bin Adam

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    TGSD1 Baada ya makato yote na HESLB 580,400/-
  5. Azizi Bin Adam

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tarime nije Moro, Iringa, Mbeya Idara Sekondari
  6. Azizi Bin Adam

    Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

    HESHIMA KWENU WAKUU Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo; 1. Sehemu ya kununua 2. Soko 3. Mtaji 4. Changamoto zake 5. Utaratibu...
  7. Azizi Bin Adam

    Nini cha kufanya kwa waliokosea kujaza form za mkopo?

    Hua wanatoa list ya watu ambao taarifa zako znamapungufu na wanafafanua nn kinamiss kwa hyo subiri tu. Ila unatakiwa ujenge urafiki na hii www.heslb.go.tz ili taarifa ziskupite.
  8. Azizi Bin Adam

    Jaribuni kuwa waelewa jamani, G.P.A ya 3.5 ni ya wanaotaka kwenda vyuo vikuu

    Kingine ambacho sijaelewa. Hyo 3.5 ni average au last semester kama ilovokua MIST miaka iliyopita
  9. Azizi Bin Adam

    Msaada; Nina laki 5, nifanye biashara gani?

    Safiri kidogo nje ya dar piga bustani ili ukuze pesa yako then angalia sasa biashara kwa kua biashara nzuri ni inayoanza na mtaji mkubwa
  10. Azizi Bin Adam

    Wale wote tulioapply kozi za Afya kupitia NACTE tukutane hapa!!

    Tuko wengi msihofu ndani ya siku Saba tutakua tumejua hatima yetu
  11. Azizi Bin Adam

    NACTE wa nini hawapokei simu za wateja wao?

    Ni hivi muda wa application za degree bado kuwa mvumilivu sivyo utawalaumu watu kwa haraka zako mwenyewe cha msingi jenga urafiki wa kutembelea www.nacte.go.tz haya mambo yanatangazwa hadharani kwa watz wote na sio vichochoroni
Back
Top Bottom