Search results

  1. Y2k

    Jifunze TENSES hapa

    Safi sana Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
  2. Y2k

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Sana kaka haina kelele kabisa
  3. Y2k

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wazee wa Road trip Jpili nina safari ya Geita Tanga via Busisi, na Babati kituo cha kwanza na ndipo nitakapolala Asubuhi naliamsha paka Tanga kwa Babu Chumbageni kwa kutumia Mnyama wa kijerumani X3
  4. Y2k

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Kweli kabisa atamimi nipo rafiki yangu alinunua kampuni tofauti na Toyota paka leo unaenda mwaka wa 6 hajawahi kubadilisha spear zaidi ya service ya kumwaga oil
  5. Y2k

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Kwanini unasema hivyo mdau ama kwavile ni gari zinazopatikana kwa wingi ?
  6. Y2k

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Habari wana JamiiForums, poleni sana na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimetokea sana kuvutiwa na kulipenda gari aina ya Nissan Dualis lakini sina information za kutosha husu ili gari so nimeonelea nije apa kwa wadau mana najua humu ndani kuna fani za aina...
  7. Y2k

    Hii ni ajali subaru

    Geita hiyo kaka sio Arusha
  8. Y2k

    Naomba ufafanuzi kuhusu ajira za Migodini (Machimbo ya Madini)

    Habari ndugu, unaitaji kufanya kazi mgodini lakini hujafafanua elimu yako ni level gani, napia unatakiwa kutambua kua kuna large scale mine na small scale mine sasa sijui ni ipi unazungumzia. Kama ni Large Scale Mine hua wana tangaza nafasi za kazi kama kuna uhitaji, na kazi zenyewe ni kama...
  9. Y2k

    Ijue Sheria ya Ardhi: Taratibu za utatuzi wa migogoro ya ardhi

    Habari za majukumu wana jamii foroum. Kuna issue moja inanisumbua nataka kufahamu kisheria imekaaje. Kuna eneo tumenunua mimi na wenzangu na pia yumeshaanza kujenga, aliyetuuzia ni mmiliki halali wa eneo ila kuna issue kwamba lile eneo lilipimwa na kuna plani ya shule ya sekondari ya private...
  10. Y2k

    Msaada: Gari linapata moto sana na kuzima

    Asante kaka mana nimempelekea fundi akasema anaanza kucheki kama kuna licage then acheki cylinder gasket kama ikopoa
  11. Y2k

    Msaada: Gari linapata moto sana na kuzima

    Habari wapendwa .jamani nimekuja uku kucheki wataalamu wanasemaje kulingana na shida niliyonayo. Gari langu linapata heat sana na kuzima yani ukitembea kidogo linapata heat na kuzima. Je tatizo linaweza kuwa nini ? Majibu ni kwa wale wenye uhelewa wa tatizo hilitu
  12. Y2k

    Ukitaka usiugue kila wakati, tumia njia hii

    Nashukuru kwa ushauri mzuri japo ninaswali kidogo mzizi mkavu. Je unaweza kutumia vyote kwa pamoja ama unachagua kimojawapo apacho utakua unatumia ?
  13. Y2k

    Rais Dr John, mama Janeth na Marry Majaliwa washiriki misa ya X mass. St Peter DSM

    Acheni kudanganyana majaliwa ni muislam safi kabisa
  14. Y2k

    Nahitaji Gari - Toyota Voltz

    Vipi Nina allteza ya silver kama unahitaji nicheki kaka
  15. Y2k

    Jay Moe aonyesha utu uzima dawa katika hili game

    Hivi Roma amepotelea wapi mana ata kwenye mitandao haonekani longtime sana ama washamchinja na kumtupa daraja la mkapa
  16. Y2k

    Gari linatoa moshi, msaada wa kiufundi unahitajika

    Same to me kaka your problem acha tuwasikilize wataalam
Back
Top Bottom