Search results

  1. M

    Ujinga ni kununua umeme wa maji toka Ethiopia wakati Nile inaanzia Tanzania

    Jamani tumekuwa wabinafsi sana bwana,tuache kulalamika maana vichwa na mishipa itauma sana.Kila siku humu nikulalamika tu hakuna mtu anayekuja na mawazo chanya yakuisogeza nchi. Binafsi Mimi sijaona tatizo lolote hapo la kununua umeme Ethiopia kama tunaupata kwa bei nafuu sana kuliko huu wa...
  2. M

    Kwanini Hisa za CRDB hazifanyi vizuri sokoni?

    Naona hii itakuwa sababu kubwa pia,Asante sana kwa majibu mazuri
  3. M

    Kwanini Hisa za CRDB hazifanyi vizuri sokoni?

    Habari zenu wanajamii forum, Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu sana hizi hisa za CRDB tokea mwaka 2016 mwezi wa 7 naona hazipandi ila zinazidi kushuka sana.Kwa mfano ukiangalia report ya mauzo ya hisa kwa tarehe 5/7/2016 inaonesha hisa za CRDB iliuzwa kati ya shilingi 295 na 300 kwa hisa moja.Sasa...
  4. M

    Kama TLS watachagua mwanasiasa itakuwa ndio mwisho wa uhusiano wa serikali na TLS

    .Chama cha siasa tena?kwani wao wanachama wengine watakuwa wanamuangalia tu huyo Lisu akiwa anafanya kiwe cha siasa.Jaribu kuwa na upeo wa kufikiria.Kila mtu anahaki sawa ya kugombea cha msingi uwe na vigezo tu basi,hayo mengine tuwaachie wenye chama waamue wenyewe msiwafanye nyie ndio mabingwa...
  5. M

    Tundu Lissu ambana RPC mahakamani, RPC ashikwa kigugumizi (Shein na Seif) nao wahitajika mahakamani

    Kama umeshasoma na kuelewa kunasehemu inajirudia shida inakuwa wapi?Lengo hapo nikukupa yaliojiri Mahakamani na sio kujuchapishia hadithi na kukupangia utakavyo wewe. Wakati mwingine inakatisha sana tamaa,mtu anakupa kitu ambacho ulikuwa hukijui badala ya kumwambia asante kwa ujumbe au taarifa...
  6. M

    Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

    Jamani huyu jamaa anatia huruma sana ,Tumsamehe kama taifa kwani hiyo video mwisho makonda analia kwa uchungu sana.
  7. M

    Nahitaji mtu wa kuzaa naye

    Hicho nikitu cha kawaida sikuhizi,tunakwenda kama dunia inavyotaka wandugu.
  8. M

    Ushauri kwa Prof Ndalichako: Achana na vyeti, angalia uwezo kazini

    Yani Haya Mambo yanatokea sasahivi yanashangaza sana,dunia yote hajuna mtu anayebanywa lazima apitie njia moja kwenda kupata degree.Sasa huyu mama sijui hilo wazo amelipata wapi,na hata Rais mstaafu mkapa ameshasema haya matamko kuhusu elimu watu wanasema tu bila hata kukaa na wataalamu na...
  9. M

    Arusha: Lema arudishwa mahabusu, kesi yaahirishwa tena

    Ila mimi nashindwa kuwaelewa watu humu ndani,kwa Lema kukamatwa na kunyimwa dhamana sio jambo la haki lakini watu wanafurahi na kushabikia hiki swala.Kama hupendi chama cha mtu usijenge chuki mpaka ukamchukia mtu,hii hali sio nzuri kabisa.Watu tutofautiane kwenye sera na kujinadi lakini sio...
  10. M

    Arusha: Lema arudishwa mahabusu, kesi yaahirishwa tena

    Daaaaaah ipo siku lakini haya manyanyaso yatafikia tu mwisho,Dhamana ya mtu ni haki yake lakini kwa Lema imekuwa ni vikwazo visivyoeleweka,Na mahakama zetu sijui kama zipo kweli huru.
  11. M

    Arusha: Lema arudishwa mahabusu, kesi yaahirishwa tena

    Tupe Maendeleo ya kesi inaendeleaje
  12. M

    NSSF, BOT, Bandari, TRA, Bunge, PSPF ajira zitenguliwe

    Hilo jambo halitawwzekana kabisa,sio kila mtu aliyepata kazi katika hizo taasisi nimtoto wa kiongozi au ni mtoto wa familia yenye uwezo,hizo tunaita ni chuki binafsi kama wewe unataka kufanya kazi kwenye hizo taasisi unasifa?kama unayo subiria tangazo la kazi kisha uombe.
  13. M

    Jesca Kishoa: Rais atangaze rasmi watoto wa mawaziri kusoma shule za serikali

    Yani hapo ndio tutamjua mnafiki ni nani.Nikweli haiwezekani ukawa ubataka kurekebisha kitu na uchungu unausikia kwa majirani tu wewe kwako haukugusi.Watoto wa wakubwa wakianza kusoma hizo shule basi ubora wa elimu wa hizo shule utapanda kwa haraka sana.
  14. M

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Hapo ndio niloposhindwa kuielewa kabisa hii bajeti ya mwaka huu,lakini wananchi hawafaitilii vitu kabisa kazi yao wao nikuiga wanasiasa wanavyosema .Ila bajeti hii kiukweli inabana sana wananchi ila watu hawajajua hilo ngoja tu itakavyoanza kufanya kazi ndio machungu yake watayaona. Kwamfano...
  15. M

    Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    Kwakweli kwa Bunge kutokuwa Live wananchi tunabaki gizani sana.Sasa hoja kama hizo zinajibiwa na wananchi hatuzisikii kabisa na hata ikiandikwa kwenye magazeti ni kwa kifupi sana.Sikui serikali yetu inatufikiria nini sisi wananchi.
  16. M

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    Wapi yanapatikana hayo?
  17. M

    TBC wamezima tusione Bunge

    Bunge limerejea jamani
  18. M

    Mh Rais Tuokoe Wakazi wa Kisarawe II Kigamboni.

    Mmmmh nahuko nako wameanza tena.
  19. M

    Zitto aitibua CHADEMA

    Watu humu ndani mnaongea sana.yani hata hukumu mahakanani haitolewi hivi.mtu lazima ajitetee ajue kosa lake kisha Kama kuomba radhi ndio aombe .Na Kama ameonewa je?ndio maana nayeye anataka kuwe na masharti kwenye kurudi.
Back
Top Bottom