Search results

  1. N

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Nipo serious bwana!naomba unijibu mana kuna wakati nikifikilia sana kuhusu yeye huwa machozi yananitoka! wanaachwa watu zaidi yake kiutendaji,kwa nini tunafanyiwa ivyo?kwa maslai ya nani hsa jamani?inatia uchungu sana. Mungu tusaidie.
  2. N

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Salam wakuu! Ni muda sasa,nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pasipo na majibu,kuhusu mama huyo kwa jina la Sophia Simba,je ni nani hasa?kwa kuwa tokea nimeanza kumfuatilia enzi zile kabla hajawa mbunge,wala nini,ni maajabu kuwa waziri! Nasema ivyo kwa kuwa hata alipopewa uwaziri tokea...
  3. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Sijui nianze kwa kusema nini lakini kaka Paxman,umenitoa machozi sana tena machozi ya simanzi kwani pamoja na mimi kukuzidi umri kidogo lakini una hekima busara na ushauri mzuri sana, Na mimi dada yako nakuahidi kufuata yote uliyonishauri kwa kuwa yanajenga na yataenda kujenga ndoa yangu Na...
  4. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Dudu,naomba rudia tena kuisoma ile message,nilisema nimeshampata mpenzi Eng James na ananipa mapenzi kama ya mama na mtoto wake wa kwanza katika mabano nikaweka(si mapenzi ya kitandani)nikimaanisha anavyonitreat ni kama mtoto mdogo,ananibembeleza,kuja kila mara nipo wapi,nafanya nini je...
  5. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Thanxs dear,I will soon change the name,and let you know. thanxs for your compliment,Yes im so special I may say,Jf is my everything!
  6. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Jambo la kwanza ni kupiga magoti na kumwomba Mungu.Then,ukipata chance kama hii na watu mbalimbali wakatokea kupenda kuwa na wewe usibabaike,mfano mimi,walitokea wote unaowajua wewe,wa kada mba limbali na kutoka nchi mbalimbali ulaya na Amerika,hapo ndo nilitumia kitu kinachoitwa STRENGTH OF THE...
  7. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Worry not my Brother,sisi tumemtanguliza Mungu mbele kwa kila hatua,ivyo hatuna shaka yoyote na ni Mungu tu aliyetuunganisha,japo njia ilikuwa ni hii ya JF Thanxs again for your support and advice along the way!
  8. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Im so happy with your lovely words and advice! It seem you are a kind hearted person,I real appreciate' Hope we will be together soon for the celebration later this year!
  9. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Hellow my beloved sister,I replied.may be was a network problem. ok you just PM me and dont forget your tel no,to ring you! Thanks for your compliment,you are a wonderful and special sister to make so let ut start a move of friendship!
  10. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Thankyou so much Maamuma,may God be with us,kila hatua nitakuwa nawa Pm/ ili kwa atakayependa kuwepo aje!so worry not!
  11. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Ivuga,tuko pamoja,shemeji yenu akiridhia tutatoa picha zetu live,ni kwamba hakuna utani,maisha ndo haya,tusijidanganye kwamba kuna sehemu nyingine so mtu ukipata chance itumie,huo ndo ushauri wangu kwa wengine ambao bado,MUngu ni muweza wa yote!Kuhusu kadi usijali panapo majaliwa ya Mungu ni Dec...
  12. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    purple,aksante sana,hope tupo pamoja sana,kwa kila hatua, Mungu akubariki na uzidi kutuombea tufanikishe malengo!
  13. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Bak!!!!! aksante sana,nilipoanza safari ulikuwa pamoja na mimi na ukanitakia pongezi,nashukuru sana kwa Maombi yako you are a living water!
  14. N

    Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

    Salaaaaaaam! Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu,kwa kazi nzuri ya kuweza kuweka jukwaa la wapendanao,hatimae na mimi nimempata mpenzi wa moyo kwa sifa zilezile nilizotoa! Pia nawashukuru wote walioniPM na kupenda wawe na mimi nao nawashukuru sana, kwani waliniamini na mimi sina budi...
  15. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Aksante kaka,nimekusoma,ila ukweli mimi sijachakachuliwa kabisa,na hata kama ni kuchakachuliwa basi mimi siwezi ingia kwenye list iyo, sasa nikwambie,sasa naomba nikwambie tu kwamba Tayari kwa kupitia JF. nimeweza kumpata yule niliyekuwa namtaka,yaani kama kichwa cha habari kinavyosema kwa...
  16. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Thanxs mkuu,usinielewe vibaya ndugu yangu,kama ulisoma vizuri tangazo langu la mwanzo kabisa sikuweka pesa kabisa why?ni kwa kuwa kwangu hayana nafasi naweza nikaishi na huyo mwanaume hata nikiwa naprovide mimi everything what I need from him is Real love which I have been missing since my...
  17. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Naona uliyecomment hapo ni dada,okay ni maoni yako wala kamwe siwezi kuzuia,ila kwa taarifa yako fupi umekosea kuniwazia ivyo,pengine hujasoma between lines.na dakika hii ninayokujibu tayari nimempata wa moyoni,kama wewe bado wala usijali inawezekana ni kujiamini tu na mambo yako na utafanikiwa...
  18. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Hellow once again Fou...aksante kwa ushauri wako na naufanyia kazi. ila na wewe napenda nikupe japo ushauri mdogo.siku ingine unaposhauri toa ile negative attitude,badala yake weka positive hata kama unakosoa nasema ivyo kwa kuwa hata mimi ni mwalimu tena kwa miaka 6 sasa nimekutana na...
  19. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Halafu da Judy,umezungumzia kuhusu kwamba mwanaume mwenye kipato cha kuanzia 2m anakuwa tayari ameoa si kweli,tena hao ndo wengi hawajaoa.nimeshafanya research,kwa kuangalia mienendo kwenye jamii na hata mifano halisi kwa jamii inayotuzunguka na si kwamba wenye kipato kidogo pekee ndo wameoa au...
  20. N

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Nashukuru sana dada yangu kwa ushauri wako na inaonyesha ni jinsi gani unavyoweza kumfikilia na mtu mwingine.huo ndo tunaita utu wema, kuhusu vigezo muhimu,nitaanza na moyo wangu unasema nini kwa mtu mhusika unajua asikudanganye mtu kitu kinachoitwa upendo,ni cha ajabu na siri kubwa ila mimi...
Back
Top Bottom