Search results

  1. K

    Baada ya Tundu Lissu kuwa-expose waanza kujitaja wenyewe...

    Aibu kubwa, naona angejipanga kwanza. Utetezi wa hovyo.
  2. K

    Mizengo Pinda akunjua makucha

    Hii inaonyesha jinsi gani hatuna waziri mkuu. Kazi bado ipo.
  3. K

    Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

    Thanks for your comment, Nimeipenda sana,
  4. K

    Hatimaye budget ya waziri mkuu yapita pamoja na mazongezonge yake

    Tatizo la bajeti litaendelea kuwepo hadi Bunge littakapokuwa na uwiano sawa wa wabunge, walau wapinzani wangekuwa more than one third. Naamini yana mwisho, na muda si mrefu 2015 watajuta kuzaliwa. Watanzania wa 2010 si wa 2012, Waanche waendelee na sera yao, TUMEWEZA, TUNATHUBUT NA TUNASONGA...
  5. K

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Bravo Mnyika, nimekubaliana na kauli ya kuwa Raisi wetu amekuwa Dhaifu ndiyo maana nchi yetu imefika hapa tulipo, hali za maisha zinazidi kuwa mbaya zaidi. Pennye ukweli tuseme, tuache woga, tusipende kumwambia mambo uko kimoyo tunasikitika. na mitaani tunasikitika. Raisi akifanya vizuri...
  6. K

    CHADEMA yatoa dira ya Uchaguzi Mkuu 2015

    Bravo Dr. Slaa, mwanzo mzuri, tuendelee kujipanga, maana bila maandalizi, kumbuka kuna majangili waweza kutupora tena. Tuhimize vijana kujiandikish mapema, na hiyo tume ya uchaguzi iwe huru, hapo sawa, ushindi ni wetu
  7. K

    Je kuongeza kodi kwa wafanyakazi (PAYE) kutamkwamua mfanyakzi au ndiyo maumivu kwao?

    kwa akili yako ccm ilishinda, hata kwa kiba kulua chadema ingefanyaje, tusubiri 2015!
  8. K

    Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

    Uhitaji kusoma, bajeti ni mbovu, Watanzania tunahitaji Uzalendo, penye ukweli tuseme. Dr. slaa ni mtaalam, acha dharau.
  9. K

    Mbunge CCM: Bajeti si yenyewe imechakachuliwa

    Tanzania wabunge wa kusema ukweli, kama mmekubaliana lakini waziri anafanya yake mwumbue hadharani. Kwa maelezo machache niliyoyasoma hapo juu hayahitaji uwe CCM wala CHadema kukakataa bajeti hiyo, swala Muhimu ni uzalendo. Tukubaliane kwamba tunahitaji wabunge waseme hapana tuanze na moja...
  10. K

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    piicha zisikupe shida, wachakachuchue wasichakachue, ukweli unabaki pale pale, watu wamechoka, Na tunchochusubiri ni katiba mpya. Na kuitoa CCM
  11. K

    Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    Ni jembe kweli, sasa kazi imeanza. Nafoikiri CCm watajinnyonga. Nimewasikia asubuhi Vijana ndo wanaamka ya kuwa Budget ya mwaka huu iseme kiasi gani itaennda kwa vijabna,, Walikuwa wapi siku zote.
  12. K

    Huhitaji kuwa na degree au kuwa mtabiri kujua saa ccm inaanguka.Vifuatavyo ni viashiria.

    Nimeamini kuna watu hawajua kuwa CCMm imekwenda na maji, Jahazi limetoboka. Waibe wasiibe hii ndo kiama chao. Wakati wa mabadiliko ni sasa.
  13. K

    Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

    Si wote wamejisajiri, nafikiri kujiunga JF ni uamzi binafsi. huwezi kumlazimisha mtu yeyote
  14. K

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    It is a shame for the Prime minister, he promised to talk the whole issue today, very unfortunitely he did nothing.. I think now it time for Zitto and others to take step ahead. Aibu tupu. Watanznia tuamke maana huu ni uhuni wanafanya, nimeamini maneno niliyosoma jana ya kuwa JK amesema upepo...
  15. K

    Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

    Bravo Chadema, ndo mkombozi wetu. Magamba yatavuka mwaka, Sipati picha, Pale Waziri mkuu atakapovuliwa gamba. Big up. Mungu yuko upande wetu. Peopleeeeeeeeeeees Power!!!!!
Back
Top Bottom