Search results

  1. P

    Mashabiki wote wa UKAWA kuwa makini

    Tatizo ni za Dr Slaa kukaa kimya akiwaacha wananchi na wanachama wakihaha kujua alipo na anafanya nini. Kwa sababu umekuwa msemaji wake, mwambie atoke, aseme, aondoe mikanganyiko.
  2. P

    Dodoma: Rais Jakaya Kikwete kuambatana na Ujumbe Mzito

    Na hao wanawake aliowajaza hapo bungeni atawambia wana VIHEREHERE
  3. P

    X-Girl friend kaniomba nimsindikize

    Kwa hiyo umehifadhi hizo picha kwa faida gani? SUA ni chuo kikuu, hao waliofanya ufuska wamemkosea nani mpaka wewe uhifadhi picha zao? Au huyo Lecturer kachukua binti aliyekukataa? Hiyo Engenering ya Chakula utaimaliza kweli, maana umekomaa sana na ngono, wanawake, Janet, wahadhiri na mambo yao...
  4. P

    TANZIA: Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima wa jimbo katoliki la Arusha Afariki

    Kama hakuacha wosia, baraza la maaskofu tanzania lina uwezo wa kuamua kumzika mahali popote, makaburi yoyote ya kanisa katoliki au kanisa lolote la katoliki.
  5. P

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Watapata kula leo na jana. Tatizo kesho na milele.
  6. P

    Naahidi 6000 MGW za Umeme 2015

    Utakopa Nchi gani? Deni la Taifa Utalifutaje?
  7. P

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Upo sahihi kabisa. Walala hoi tulitakiwa tuanze kwa pamoja kwenda pale Mjengoni na kuwatoa kwa wingi wa umma. Lakini tutabaki kusaga vidole tu humu kwenye MITANDAO. POOR TANGANYIKANS, HELPLESS, IGNORANT, COWARDS, DESTITUTE, CRIPLLED, RETARDED, YOTE TU.
  8. P

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Bunge bhana. Siku mbili milioni. Wote tunakula ChakoNchako, tunalala Veta, tunatumia taxi za dom town, nyagi na bia za rose garden bei moja, club 84 bei moja, watoto wa Udom bei ileile nk kutwa nzima hata laki na nusu hujamaliza baada ya starehe zote hizi. Balance laki tatu kwa siku. mara siku...
  9. P

    Majimbo yanayotawaliwa na CHADEMA yazidi kudhoofika kiuchumi kutokana na siasa chafu...

    Msuki, hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na demokrasia ya ushindani. Mwananchi ndiye anatakiwa kuwa msemaji wa serikali anayotaka. Wasaidie wananchi waliochoshwa CCM hadi kuchagua uwakakilishi mwingine. Pia hakuna ushahidi wa kitafiti unaoonesha Arusha kuporomoka kiuchumi kwa sababu...
  10. P

    kwa wenye wapenzi wachunguzi wa whatsapp na apps nyingine dawa hii hapa

    Hayo maprogram yapo kibao. Nyingine inaitwa Vault, na nyingine CalaApp. Yote hukohuko Google Play au Mabognie. Unaambiwa hata simu ikipigwa inaingia kwa siri kama ulishamhide huyo usotaka ajulikane na uliyenaye kwa mda huo. Kazi ni Kwako tu. Dowload.
  11. P

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Bwana Lizaboni. Kwenye masuala ya raslimali tuache ushabiki wa kisiasa. Gazeti la Uingereza limeandika kwa takwimu na weledi juu ya biashara ya meno ya tembo Tanzania na China. Saidia nchi hii na vizazi vijavyo pamoja na wajukuu zako kuja kuiona Tanzania yenye mali asili zilizopo. Kama huna hoja...
  12. P

    Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

    Kwamtoro mbona unatukwaza, hizi sio siasa za chadema na ccm. Tumefiwa na mtu muhimu sana Tanzania ambaye amefanya kazi miaka 41 Maua Seminary yenye wawakilishi Tanzania Nzima kwenye sekta zote. wewe unaleta mizaha ya kwenu usandaweni. Tunakuomba ujiunge nasi kumwombea. tafadhali acha mizaha...
  13. P

    Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

    hata mimi nimepata habari fr ladislaus amefariki dunia. nilimpenda sana kwa shughuli zake za kilimo na mafunzo yake kwenye maeneo yote ya kilimo. mungu aiweke roho yake mali pema pepon. amina.
  14. P

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Acha hizo. Mtukufu Daniel Arap Moi Rais wa Kenya alikuwa Rais Shupavu baada ya kumtema mkeo mapema. Kwa afrika uongozi ni independent na monogamy au hata polygamy.
  15. P

    Sista katoliki wa miaka 85 abakwa huko Pennsylvania![video]

    Mbaya Sana. Hawa vijana wana matatizo ya Akili.
  16. P

    Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    simple sana. Ingia kwenye Google, andika gregorian calender. Utapata majibu yote.
  17. P

    Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Duh? Ulizaliwa mwaka gani mkuu?
  18. P

    Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days

    Kamanda nakuunga mkono ila jimbo hilo linaitwa RORYA SIO ROLYA. Neno ulilotumia ni matusi pale Shirati.
Back
Top Bottom