Search results

  1. Mahmetkid

    Binti wa namna hii unamfanyaje?

    Kapime naye tuuu, shida hipo wapi?
  2. Mahmetkid

    Nimeanza mwaka vibaya, nimekutana na jambo la ajabu wakati wa ku-sex

    Siku nyengine ukikutana na demu wa aina, ingiza machine kwenye tigo, anazinduka mwenyewe bila kupenda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mahmetkid

    Mnaikumbuka LG workshop tuliyowahi kuijadili November? Imerudi

    Hiyo work shop hipo maeneo gani, nami TV yangu ya LG picha zinacheza kama inavyoonekana hapo kwenye video Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mahmetkid

    Je, ukizibwa jino kuna ulazima wa sindano ya ganzi?

    Kwenye kuziba jino, inategemea na kiwango cha dental caries ilipofikia. Kama hipo deeply to the pulp, ganzi lazima itumike ili kusiwe na maumivu na procedure ifanyike smoothly. Ila kama hipo superficially, siyo lazima kutumia ganzi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mahmetkid

    Je, utamsamehe Mke/mchumba kwa Kuchepuka?

    Samehe saba mara sabini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mahmetkid

    Kwanini ni muhimu kwa Baba kuonyesha upendo wa dhati binti yake?

    Hili ni muhimu sana. Lkn pia kumtimizia mahitaji yake, kama mzazi husipotimiza hayo mahitaji, kuna vijamaa njee vitamtimizia na kumwaribu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mahmetkid

    Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Hii njia utakifika Chunya, kuna njia ya kutokea Itigi. Sema ni seasonal road, barabara haipitiki muda wote. Ni njia fupi sana kama ikitengenezwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mahmetkid

    Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Minal Eid Wal Faizina Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mahmetkid

    Vodacom Tanzania ni wezi

    Aise pole sana, Vodacom siku hizi wamekuwa wezi sana. Hata mimi walikula salio langu la M Pesa nikashangaa, kuwauliza wananiambia nilicheza bahati nasibu yao ndiyo maana hela imekatwa. Nikauliza bahati nasibu si mpaka ucheze mwenyewe na uruhusu hela itoke M Pesa, imekuwaje nyie mnanikata moja...
  10. Mahmetkid

    Hivi kwanini mtu akishaoa au kuolewa ndo yanaanza kuja mazari ya kukutana na wapenzi wengine wazuri zaidi?

    Uwa wanasubiria mpaka uoe au uolewe ndiyo wajitokeze. Wengi wa hivyo upenda wanamke au mwanamme ambaye tayari ameshaolewa au ameshaoa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mahmetkid

    Umeshawai kuanzisha mahusiano na Mtu halafu ghafla uchumi wako unaanza kuporomoka

    Ila watu wa aina hii wapo aise, si kwa wanawake hata kwa wanaume pia wapo. Ukianzisha mahusiano na mtu, unayumba sana kiuchumi mpaka unashika adabu. Mkiachana tuuu mambo yanarudi kukaa sawa. Mabint wa aina hii uwa ngumu sana kuwaacha kutokana na wanavyokuwa, very Royal in Relationship Sent...
  12. Mahmetkid

    Nimekataliwa kisa sina gari

    Hao ndiyo uliwaga kwa Magari ya kuazima, mpaka aje kujua siyo yako ameshapotea njia. Hao ni wanawake wanaotumia matako kuwaza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mahmetkid

    Aliyekuwa Mhasibu wa Tanroads Ruvuma, Justin Rwendera adaiwa kujiua kwa kujipiga risasi

    Sehemu zengine wameripoti kama Mfanyabiashara Maarufu Songea? Leteni habari iliyo kamili tujue chanzo cha kujiua Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mahmetkid

    Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

    Huyu jamaa ni shida kubwa, kuelekea Majohe, barabara haipitiki kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mahmetkid

    Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

    Nimependa comment yako Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mahmetkid

    What are some crazy interesting conspiracy theories?

    Conspiracy theory about birds in America is true, they use a fabricated birds Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Mahmetkid

    Linakujia hivi punde

    Tunalikaribisha Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Mahmetkid

    Wanawake mlio na ndoa someni hapa kuna la kujifunza

    Very constructive advice, Women and Men you have to carry this advice Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Mahmetkid

    Jinsi ya kupata kiasi cha pesa unachokihitaji kimiujiza

    Tunamsubiria brother mshana hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Mahmetkid

    Nimemchakata mtoto wa kisukuma Kaniganda

    @Zero IQ katika uwanja wako wa kujimwambafy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom