Search results

  1. J

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Huyu jamaa anauwezo mdogo sana wa kufikiri tena especial anapokuwa na sketi pemben ni mdhaifu sana. Wakati mwngne tumsamehe pengne ni walewale wanao fikiria kwa kutumia makalio. Tusiwalaumu hawa sana tatizo ni nini wanachochotumia kufikiria? Kichwa au makalio?
  2. J

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    miaka kumi tunakokwenda ni ming sana. Lazima kieleweki. Haki haiombwi ccm kama chama tawala wafike mahala watambue nawapatie watu haki zao na sio kuwanyanyasa
  3. J

    Mwakyembe aanika tuhuma za vigogo TPA, awafukuza kazi

    Congratulation Dr. Mwakyembe. We ni aina ya kiongozi bora tunaye mwitaji na sio bora kiongozi. Mungu akulinde nakukufanikisha kwa kila jambo. Naomba wafilisiwe mpaka hizo nyumba walizoonga vimada
  4. J

    Shibuda: CHADEMA imepoteza mvuto kanda ya ziwa, mbioni kuweka mambo hadharani

    Mwache aendelee kutapatapa mpaka achoke. Akichoka ajichafue alafu ajikatae. Na utakuwa mwisho wake wa kusikika kisiasa especial ubunge. Anajua kuwa anajikaanga mwnywe thts y katulia anazungumzia chinchin. Chadema yote majembe makal hakuna wakumtishia mwngne. Kama vp ajikatae. Chadema itaendelea...
  5. J

    Majembe ya chadema yawasilisha hoja binafsi bungeni kwa fujo

    Aah sana tu mpaka kieleweke bandugu
  6. J

    Ni Kwanini huyu U.S. Tycoon agharamie Ujenzi wa Serengeti Airport? Je, ni Malipo kwa 350,000 acres?

    Haya majamaa yanajua kuna nini nchini kwani kipindi wanatupatia uhuru wetu tayar kuna demacation walikuwa wameshaziweka. Hivyo wanatafuta namna ya kutupumbaza na kuzirudia raslimali zetu indirectly. Ila viongozi wetu wengne walivyokuwa mapunguwani hata kutambua kinachoendelea hawatambui. Upuuzi...
  7. J

    Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!

    Haki haiombwi. Serikali ifike mahali itambue muda unafika lazima kitanuka tu after few yrz to come
  8. J

    Uswis yatoa Masharti kuwataja walioficha Mabilioni...

    Hapo hawatusaidii ila pia ikumbukwe kuwa kinachofanyika kuwataja hawa ni jambo la kumfichua adui sasa ni vita. Hivyo kunauwezekano mkubwa wamekwisha kuwasiliana nao kusudi wawakingie vifua mafisad hao. Ila vilevile ikumbukwe kuwa mabenk hayo yako kibiashara ivyo wakiruhusu mabilion hayo ghafla...
  9. J

    Chinja Chinja: Kauli Mbiu mpya ya CUF

    napenda kuwaambia waache frustration. Wanapotaka kufanya jambo wajaribu kufanya wakat wametuliza ubongo ndipo watafanya jambo lenye manufaa kwao na kwa wananchi. Nadhan M4C ndio inawanyima usingiz kwa namna wanavyoona ikifanikiwa sasa nawao wanatoka kivyao. Pole yao
  10. J

    Matembezi makubwa ya kuchangia CUF kufanyika kesho.

    Tatizo wanafanya mambo kwa hisia na kwa kuiga. Mambo yanamna hiyo huwa hayafanikiwi. Hawa watakwenda ambulia aibu tupu
  11. J

    Ni vita: Lowassa, Sumaye, Mwandosya - Madai ya matumizi ya fedha chafu yaibuka; Udini na Ukabila

    Hawa lazima watoane macho kwan wanachogombea nikula na sio kupata uongoz wa kusaidia kutatua kere za wananchi. Tumeshawazoea hawatup homa. Hapa sisi ni People's power kwa kwenda mbele huku tukiwasubiria 2015 tuwagaragaze kama tunanawa vile kwa tumeshawaona hawa kijan wamekuwa lain kama...
  12. J

    M4C Leo Arumeru Mashariki Na Maeneo Jirani.

    Ebwana wee nilitaman ningekuwa mahome muda kama huu niweze hudhuria mambo ya Joshua na M4c kwa pa1 ila bas niko mwanza kikaz ila nimekumbuka ma home aisee. Eroo jombaa bado tuko pa1 naomba unijulishe kitakachojiri huko mahome. Niko kichuga chuga! Nimemazaliwa R-chuga! Sina nidhamu ya uwaga...
  13. J

    Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    tatizo la viongoz wetu wanatumia nafasi zao kutengenezeana namna ya kula na sio kutatua matatizo ya nchi na watu wake
  14. J

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Kwanza kipekee namshukuru Mungu kwa kumwongo Jaji ktk hali ya hekima na busara na kuweza kusimamia haki. Pili Mungu amekuwa akiiyonekania Tanzania kila kukichwa kwakutufunulia maovu ya viongoz wetu na kuwaweka wazi na hata kuwashusha chini. Napenda kusema mwisho wa CCM a.k.a wazee wa kijan...
  15. J

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Yaan mkisikia tu haki imetendeka kwa kumvua ubunge Dr. Kafumu ujue jimbo limekwenda na maji kwa CHADEMA. Mwisho wao umefika. Peoples'.....
  16. J

    Hukumu ya Prof. Costa Mahalu

    Daah huu ndo upuuzi badala ya kuokoa gharama na kuangalia unyeti wa mambo wao wanakalia namna kuizika kesi hii kwa kurusha siku za kusikilizwa kesi m
Back
Top Bottom