Search results

  1. Cable

    Arusha Mambo - Itarusha Bunge Kuanzia Leo

    Mko vizuri, nawapata katika ubora ulio na hakika
  2. Cable

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    Mhhh Nchimbi awe Waziri Mkuu? mbona hata hafananii acheni utani na hii Nchi
  3. Cable

    LEO MALIASILI NA UTALII - ITAKUWAJE? - Kagasheki Vs Lembeli vs Msigwa

    Leo ni lazima kuna Mambo yataibuka, yaani by saa saba kutakuwa tayari kumechafuka kulikuwa kumepoa sana heri tupate cha kuzungumza.....
  4. Cable

    UWEZO WA WATANZANIA: Judge Augustino Ramadhani - Anasoma Hukumu Nairobi Kenya

    Aisee unajua umeongea jambo la maana sana, hapa Tanzania tuwe tunaunda tume zinazoongozwa na Majaji wa Nje (Uganda/Kenya/Burundi au Ruanda) na akishamaliza kazi yake atusomee ripoti hadharani ndio arudi kwao sisi tubakie na Serekali...
  5. Cable

    UWEZO WA WATANZANIA: Judge Augustino Ramadhani - Anasoma Hukumu Nairobi Kenya

    Tupe maoni yako hata kama ni ripoti, sisi tunachomsifia ametenda haki kwa raia aliyenyanyaswa na kiongozi na amesoma taarifa ya tume aliyoiongoza bila woga na tena ugenini na tunaifananisha hali hiyo na haki ndani ya Muhimili wa Mahakama hapa Tanzania.
  6. Cable

    UWEZO WA WATANZANIA: Judge Augustino Ramadhani - Anasoma Hukumu Nairobi Kenya

    Sawa hata kama ni ripoti ya tume tupe hoja yako, sisi tunamsifia kwa kutenda haki na kutoa msimamo wa tume aliyoiongoza bila uwoga tena ugenini na tunafananisha hali hiyo na hali ilivyo kwenye Muhimili wa Mahakama hapa Tanzania.
  7. Cable

    UWEZO WA WATANZANIA: Judge Augustino Ramadhani - Anasoma Hukumu Nairobi Kenya

    hivi majaji vilaza ni kina nani hakuna mtu anamajina yao, tuijue jamani hiyo mizigo iliyoko mahakama kuu, nasikia wengine hata kiingereza ni shida
  8. Cable

    UWEZO WA WATANZANIA: Judge Augustino Ramadhani - Anasoma Hukumu Nairobi Kenya

    huyu mzee ni noma yaani kampiga chini Jadge Mwenzake bila aibu, tena nasikia huyu Nancy ndio alikuwa Mwenyekiti wa kamati maalumu ya Katiba ya Kenya kwenye Kipengele cha Haki za Binadamu halafu yeye mwenyewe ndio akawa wa kwanza kuzivunja, sheria inakata mara mbili aisee, tumuombe asaidie ile...
  9. Cable

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Hongera Arusha Mambo, leo redio imetulia, poleni kwa usumbufu wa internet jana na juzi, big Up
  10. Cable

    Mwigulu Nchemba mbona yupo kimya bungeni siku hizi?

    Tangazo M4C Iramba Mangaribi - August 2012. Chama cha CHADEMA kitafanya Ziara ya Mwezi Mzima katika Jimbo la Iramba Mangaribi ambalo ni Jimbo la Mh. Mwigulu Nchemba kwa ajili ya kuimarisha chama, Mada zitakazozungumziwa katika Ziara hiyo ni; 1. Utendaji wa BOT kati ya Mwaka 2006 - 2010 2...
  11. Cable

    Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

    Zitto Kabwe amethibitisha kushiriki na amepewa kazi maalumu ya utafiti chini ya wasaidizi wa wasomi sita wenye alama za juu za mambo ya uchumi na utawala wa fedha kutoka Chuo Kikuu cha Tanzania na kushauri timu itakayokuwepo Iramba, kazi hii pia itamruhusu kuhutubia katika vikao vya Iramba...
  12. Cable

    Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

    Chama cha CHADEMA kitafanya Ziara ya Mwezi Mzima katika Jimbo la Iramba Mangaribi ambalo ni Jimbo la Mh. Mwigulu Nchemba kwa ajili ya kuimarisha chama, Mada zitakazozungumziwa katika Ziara hiyo ni; 1. Utendaji wa BOT kati ya Mwaka 2006 - 2010 2. Wizi wa Fedha za EPA 3. Uhusika wa BOT na...
  13. Cable

    Mwigulu Nchemba mbona yupo kimya bungeni siku hizi?

    Chadema watafanya m4c jimboni kwake mara tu baada ya kikao cha bunge ndipo atakapojua maana ya kuwa na "a'' wakati watu hawana maji, hospitali na mabilioni ya pesa yanaibiwa na kuhifadhiwa nje huku bot wakijua
  14. Cable

    Bunge Live June 25: Bajeti za Ofisi ya Waziri Mkuu/Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Tunatarajia bajeti nzuri leo na zitakazoleta sinema mpya bungeni, Arusha Mambo nawapata kwa usikivu wenye uhakika, niko KIBONDO, hapa nilipo hakuna mawimbi ya Redio wa TV isipokuwa internet ambayo ndiyo inanisaidia kusikia bunge, hii akili sijui mmeitoa wapi, BIg UP!
  15. Cable

    Bunge Live Jioni Leo, June 19.

    tupe mambo Mkuu, jicho kwa jicho bajeti hii,
  16. Cable

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Twanga hii Link usikilize.... http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&
  17. Cable

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    twanga hii Link http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& Arusha Mambo wanarudia bunge utasikia mambo ya Kamanda wetu Mnyika Alivyowapelekesha.
  18. Cable

    Leo ndio Siku Aliyokufa Brenda Fassie, May 9 - Yule alikuwa Mwanasiasa?

    Wadau, Samahani inaweza ikawa sio mahali pake ila nimesikia leo kupitia Arusha Mambo habari hizi za kumbukumbu ya kifo cha Brenda Fassie wa South Africa na kuwa Mzee Mandela na Rais wa sasa wa Afrika Kusini walikwenda kumjulia khali hospitalini kabla ya kifo chake, nikajiuliza hivi yule dada...
  19. Cable

    Tutarusha mkutano live toka Arusha

    Big Up Arusha Mambo unatusaidia sana sisi tulio mbali, hii ndio maana ya teknolojia.
  20. Cable

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Inasikitisha kwa watu wasiotambua hili: kwa hali ilivyo sasa katika Nchi ya Tanzania CHADEMA ndio wanaongoza nchi na ndio wanaoiamulia Serekali nini cha kufanya, kwa sasa wao ndio wamemuajiri Rais na wanaweza kumfukuza kazi saa yoyote.
Back
Top Bottom