Search results

  1. S

    Ssra na mafao ya wafu

    Salaam, Nikiamini kuwa Mola ni mkarimu na mwema kwetu kwa kutujaalia afya, uzima na uhai hata muda huu. Ni mapenzi yake ya dhati ambayo kamwe binadamu hata wawe wema kiasi gani hawawezi kuyadiriki. Ni maajabu twashangaa vitengenezwa badala ya kushangaa mtengenezaji wake. Sitaki kuamini kuwa...
  2. S

    Wabunge wetu wajitathmini waheshimike

    Naamini sote tuwazima kwa uwezo wa Muumba wa mbingu na ardhi Ndugu zangu, Najitahidi kuacha kuwafikiria wanasiasa wa tz lakini nashindwa. Sijui ni vipi wanajisikia pale wanapoona wananchi wanteseka kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii huku wao wakipeleka mipasho na viduku bungeni. Sielewi ni...
Back
Top Bottom