Nilipata sifa zake , nikamtafuta kwa ajili ya somo la Jiografia kwa mwanangu nilifanikiwa kukutanq naye na kufanya naye mazungumzo lkn wakati huo alikuwa mgonjwa mwenye nafuu.
Maana ndo alikuwa ana recover kutoka kwenye maradhi ya KUPOOZA, nilipata story nyingi juu ya afya yake, mpka mtu...
Mm siyo kijana, ni mstaafu niliyekumbana na kikokotoo, binti yangu kakosa mkopo chuo kikuu.
.nimempa kadi ya bank kwa ajili ya pension AJIKIMU.
Mke wangu bado ni muajiriwa ndo kachukua jukumu la kuendesha familia jiji la Dar kwangu nimelikimbia niko wilayani huku napambana na kilimo na ufugaji...
Hakuna chochote kitakacho saidia , hakuna Elimu yoyote !
Vijana walioko makazini na watakao ajiriwa baadaye katika hizi ajira za chini na kati.
Ajira zisizo na masurufu mengine zaidi ya MSHAHARA ili kujiandaa na KIKOKOTOO fanya yafuatayo.
1- Oa mapema sana.
2- Oa mwanamke mnayependana sana...
Mwanamke ni binadamu wa THAMANI KUBWA MNO.
HARMONIZE ame MUHESHIMISHA MUNGU WAKE!
mtu pekee anayeweza kutoa fafanuzi ni yy mwenyewe DR SULLE na wale wote wanao toa tafsiri NEGATIVE ndo wakosaji.
" nikisema MUNGU WANGU" sina maana kuwa sio MUNGU WENU!
Nia ya HARMONIZE NI NJEMA KUMUHUSU MUNGU!.
Hii inapaswa kuwa ni agenda ya Dar es Salaam, kwa maana ya kuzitawanya hizo shule katika maeneo yote jijini.
KONGOLE kwake Mkurugenzi wa Kinondoni WAAMSHE Wakurugenzi wenzio WALIOLALA, kwa kuwa ni faida kwa Wananchi ( siyo Yanga ) basi iwafikie WOTE.
Hao wenyeji wako wameshindwa kwenda na beat, mgeni akiwepo chakula kinatakiwa KIONGEZWE MAFUTA YA KUPIKIA.
Mtu toka bara, atakula akifurahia chakula kwa siku mbili tu, baada ya hapo ataanza kukinai na kunywa maji mengi.
Weka mafuta mpaka kwenye UGALI.
Mwanangu!! Vyote ulivyonukuu BIBLIA inatoa ushauri juu ya ULEVI si katazo.
Mf MLAFI ni nani .? na MLEVI ni nani?
Hawa kila mmoja anatumia nini? Kwa kiasi gani? Niambie MLAFI anatumia nini? MLEVI je? Anatumia nini?
Kisha naomba soma 1Samwel 25 - 37
Jadili ABIGAIL alimpelekea nini? DAUD je ...
Binafsi sipigi, ila siyo kwa sababu eti imekatazwa kwenye maandiko ni UONGO mtupu ni sheria za makanisa yao ambayo si mbaya isipokuwa WAKATAZANE WAO wenye taratibu hizo.
Hakuna palipokatazwa unywaji wa pombe ni ushauri tu!
Mf " ni wale wakaao sana kwenye ulevi "
Wanaokaa kidogo je?
Nipe jibu
Mvinyo ninini ? Na divai ni nini?
Kilichobarikiwa pale kwenye harusi ya KANA ni nini?
Kasome
Matendo ya Mitume 16:33
Halafu kama ww ni muamini ubatizo wa maji mengi, jiulize waliongozana mpaka mtoni/ bwawani/ ziwani/ au kulikuwa na swimming pool. Kisha jiulize neno " yy na nyumba yake yote"
Kama kulikuwa na watoto wachanga haiwahusu? Iweje aamini mmoja, wabatizwe wote...
Tembea " ukutwe na shida" mm siku moja nilisafiri toka Manyoni mpaka stand kuu Dodoma.
Lengo na madhumuni nifike Gairo, pale nikapokelewa na wahudumu ambao walinitaarifu kuwa ntapata gari wakanitajia nauli .
Shida inaanzia kwenye tiketi wanayokupa ni zile za vitabu lkn zikiwa zimetaja bus...
Bro! Mm alikuja kwangu fundi bomba, ambaye wanafahamiana na mke wangu alimfahamu kupitia ufundi wake.
Nami nilipohamia alipo mke wangu nikamfahamu huyo fundi , siku moja alikuja nyumbani kwangu asubuhi asubuhi, nikawa namtania leo naona umevunja rekodi yako umewahi sana kufika kazini...
Yuko pia jamaa yangu mmoja ni MZALENDO sana yaani kupitiliza kasota sana mpaka kuwa Rubani .
Daah jamaa yangu huyu kwenye KIPIMO cha uzalendo ni zile enzi za Mwl maana ni mtoto wa wazazi wa kawaida lkn HAKUPENDA kabisa maisha ya ULAYA mpaka kesho familia yake iko kule lkn yeye ni BONGO .
Mama alitoa ushauri kwenu nyinyi Wasimamizi na watengenezaji wa barabara TANROAD/TARURA, ili kuokoa fedha na kuacha kurudia rudia utengenezaji wa barabara za VUMBI kila msimu wa mvua unapoisha ! Basi mzijengee kwa SIMENTI.
Mtindo huu ulipingwa na WALAJI lakini kwa mujibu wa MAMA njia hiyo...
Tatizo liko WAPI? mbona kauli ni nyingi tu zenye kuelekeza jambo kwa umma zikiwa katika hali ya IMANI !!
Kama nchi INAPONYWA kwa kauli hizi za viongozi , bila KUMTANGULIZA MUNGU jamii itaanguka.
Kwani kutamka RAMADHAN shida itatoweka ! inaleta ukakasi gani? Mipango na mikakati ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.