Search results

  1. Yethero Mgale

    Countdown to Confederation of African Football (CAF) election, 16/03/2017

    Ikiwa zimebaki siku 17 kabla ya kufanyika uchaguzi wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF), mpaka sasa wagombea waliojitokeza ni wawili tu ambao ni Bw. Issa Hayatou ( Rais wa sasa wa CAF anayemaliza muda wake) na Ahmad Ahmad( Rais wa chama cha soka cha Madagascar) tofauti na uchaguzi wa mwaka...
  2. Yethero Mgale

    Msaada zilipo office za bronix consulting co Ltd.

    Kuna e-mail nimetumiwa na Bronix consultants kuwa:
  3. Yethero Mgale

    Msaada zilipo office za bronix consulting co Ltd.

    Kuna e-mail nimetumiwa na Bronix consultants kuwa:
  4. Yethero Mgale

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Wewe jamaa ndyo mrithi wa shekhe Yahaya??
  5. Yethero Mgale

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Millanzi anatosha kwenye wizara ya Maliasili na utalii, majangili wote, kwishney
  6. Yethero Mgale

    Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Huo ndiyo msimamo thabiti, ipo siku tungeshuhudia bibi harusi akijifungua madhabahuni siku ya harusi
  7. Yethero Mgale

    MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Kubenea alipoandika habari kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Ulimboka walimsifia sana, Leo anaandika kuhusu Ben Saanane kuonekana akiwa mitaani akidhurura, Kubenea anaonekana kanunuliwa na CCM. Poor BAVICHA!!!
  8. Yethero Mgale

    CUF yaiachia CHADEMA kata zote uchaguzi mdogo

    Hoja yangu hapa ni kuwa: kwa sababu CUF ina mgogoro, na maana ya Umoja ni nguvu, kwanini kata zingine wasipewe NLD na NCCR kwa sababu watakuwa na nguvu ya kushindana ndani ya UKAWA badala ya kata zote kupewa CHADEMA kwa kisingizio cha mgogoro wa CUF na kuviacha vyama vya NLD na NCCR kubaki...
  9. Yethero Mgale

    CUF yaiachia CHADEMA kata zote uchaguzi mdogo

    Kwenye mgogoro CUF inasimama pekee yake lakini cha ajabu inapotokea chaguzi CHADEMA wanajifanya wapo pamoja na CUF, hapo ndipo unapogundua CHADEMA ndiyo wanufaika wakubw wa mgogoro wa CUF, sasa wanachekelea kuachiwa kata zote ili wasimamishe wagombea kwa mwamvuli wa UKAWA.
  10. Yethero Mgale

    Katibu Mkuu wa Chadema Akikagua kiwanja kutakapojengwa ofisi ya chama kata ya Usimbe, Tabora

    Lini atakagua ujenzi wa ofisi kuu ya chama, Taifa. Ni aibu kwa chama kinachopokea ruzuku ya shilingi milioni 200 kila mwezi kupanga kwenye kibanda kama kile cha mtaa wa Ufipa. Huenda ule ni mradi wa mtu kupiga hela
  11. Yethero Mgale

    Kwa Chaguzi zinazoendelea barani Afrika, ni kweli CCM haina maisha marefu

    Na mgombea kunadi sera kwa kutaja Elimu Elimu Elimu tu, halafu kampeni ya dakika tatu inaishia hapo
  12. Yethero Mgale

    Ghana: Mgombea wa Upinzani, Nana Addo ashinda Urais, Rais Mahama ampigia simu kumpongeza

    Mgombea wa Rais kupitia chama cha New Patriotic Party (NPP), Nana Addo Dankwa Akufo Addo ameshinda kiti cha urais katika nchi ya Ghana, katika uchaguzi uliofanyika mapema wiki hii. Rais mteule, Nana Addo ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa amepokea simu ya pongezi kutoka kwa...
  13. Yethero Mgale

    Kutoka Mahakamani: Rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema yasikilizwa, yapigwa kalenda

    Leo Lema hatokii, ataendelea kuisoma namba
  14. Yethero Mgale

    Ningefanya kampeni NY, Florida na California, kama uchaguzi ingekuwa ni jumla ya idadi ya wapigakura

    Katika kile kinachooneka kuwajibu wapinzani wake, Rais Mteule wa Marekani Donald Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook "If the election were based on total popular vote I would have campaigned in NY, Florida and California and won even bigger and more easily!"mIkumbukwe kuwa Trump...
  15. Yethero Mgale

    MTAZAMO: Ni kwanini Dunia ya sasa, imeamua kuchagua viongozi wenye misimamo mikali

    Chuki yako kwa Rais Magufuli, ndyo inayokusumbua
  16. Yethero Mgale

    Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

    Wewe unayeyaishi hayo unayoyaandika mbona hatukuoni kwenye Forbes kuwa na wewe ni miongoni mwa watu wenye fedha zaidi ya kutuonyesha your naked mind. " If you think you are wise enough, think wisely
  17. Yethero Mgale

    Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

    Hujaitwa na mtu yeyote kusoma au kuchangia Uzi huu bali umejipendekeza mwenyewe. Ingefaa muda huo ulioutumia kupost hapa ukayafanya hayo unayowaambia watu wakayafanye. Poor John Ndale, think twice before you post
Back
Top Bottom