Search results

  1. D

    Je, wajua dawa ya kuzuia kutapika?

    Limao linafaa pia kama hamna ndimu?
  2. D

    Kuna umuhimu wakujua jinsia ya mtoto ukiwa mjamzito

    Mtoto ni zawadi, muhmu kujua afya yake km yuko salama.
  3. D

    Kwa hili mmmh nomaa mitihani ya mapenzi ni heri ya darasani au ya maisha

    Ulitaka atoe? Mi nampa big up mdada kwa kuamua kutotoa. True love inahtajika kwa wote.
  4. D

    Msaada, anayeweza kumsaidia FIGO ndugu yangu tutamzawadia

    Mmh ndugu wa kweli hujitolea kwa lolote, Unataka msaada au unanunua?
  5. D

    Nafasi za kazi utumishi

    Duh hapo inabd kuapply liwalo na liwe
  6. D

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Nimepima mkojo leo naambia kuna few pus cell. Dokta kasema ni UTI. Bado sijachukua dawa maana wao wakikuandikia inabidi ununue kwao.Ni dawa gani ambayo ni nzuri..
  7. D

    pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Duh mfafanue mnaojua tusitapeliwe.
  8. D

    erolink upumbavu mtupu na matapeli

    Nipeni mie huo mchongo sichagui.
  9. D

    Msaada, Nani anaifahamu NGO inaitwa Health Gear

    Yaani jina la kampun na email tofauti wizi m2pu. Akili kumkichwa.
  10. D

    Kutongoza ni tusi au?

    Kushawishi.
  11. D

    Msaada pls

    Yataacha meza dawa za maumv na kunywa v2 vya baridi ikiwzekana loweka kitambaa kabla ya kulala uweke kwenye matiti
  12. D

    Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

    Kuwa na subira mrudie Mungu wako hakuna linaloshndkana.
  13. D

    Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

    Duh haya mambo magumu. Wa2 wengi hawazingatii hl.Elimu inahtajika zaidi.
  14. D

    Msaada, Nani anaifahamu NGO inaitwa Health Gear

    Tena wanataka 35 kwa tgo pesa mwenyewe anajiita madenge shaffy 0656311676 kani2mia sms ni2me vyet na hela na asaidie kupata kaz then first salary nimpe laki tatu wiz mtupu.
  15. D

    Utapeli wa kazi umezidi

    Hata mimi wameni2mia na ckumbuki kama nimeomba nafac hyo kwao. Duh wiz mtupu.
  16. D

    Msaada kwa wanaojua NGO ya HEALTH GEAR

    Tena wanataka na cha juu ili kumpa m2 maswali ya interview anayefahamu aokoe jahazi.
  17. D

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Habari zenu wana jamii forum? Naomba msaada nasumbuliwa na tatizo la Ulimi unakuwa na vidonda nimeenda hospital nikaambiwa ni fangasi na kuandikiwa dawa za kumeza na mouth wash/gel lakini tatizo halijaisha kuna wakati huwa hakuna dalili kabisa hata kama sijatumia dawa.Naombeni msaada wenu.
Back
Top Bottom