Mh yani wewe mwanaume ni mtu wa ajabu sana, Tena hata haya huna unajitangaza kabisa unatembea na mwanafunzi!! Umesahau umuhimu wa mke wako?? Huelewi maana ya Mke??????? Yaani umetekwa kiasi kwamba mpaka anachukua namba ya simu ya Mke wako, Wewe kaka huna heshima kabisa yaaani wewe sijui...
Kabla hamjaenda popote kaa na Mume wako, Muulize, Wewe unachoogopa nini? Kuuliza unaogopa, wanaume huwa ni wazito sana kusema, Wewe kama unampenda kweli Mume wako, Muulize kama kuna tatizo la Hospital Mwende, Kama ni la Kiroho mwende kwa mchungaji hiyo hali siyo ya kawaida Mama.
Wewe...
Pole sana , hiyo ni hali y akawaida, usitoe mimba ni dhambi, nenda hospitali ya Serikali iliyokaribu na wewe jieleze kwa Dr utasaidiwa tu,
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo miezi mitatu iliyopita, sasa niko fiti , Kunadawa inaitwa NOSIC na nyingine ni Domperidon ( sina hakika na spelling)...
Dah pole sana inaelekea umechanganyikiwa kweli , lakini ndoa inataka uvumilivu, Kaeni mzungumze mmalize tofauti zenu, na wewe mbona umejikataa mwenyewe, yaani umekata tamaaa sana, haitakiwi kukata tamaa,
JF Dr
Nina ujauzito wa miezi mitatu, tatizo ninatapika mara kwa mara, nilienda hospital nikapewa dawa (NOSIC) nilimeza kwa muda wa wiki 1 zilisaidia kidogo ila tatizo linaendelea, pamoja kuwa nameza dawa lakini bado narudisha chenji ile mbaya mpaka hata kwenye daladala.Je nile nini matunda...
Dr. Mzizimkavu
Nina ujauzito wa miezi mitatu, ninatapika mara kwa mara, je kunavitu au matunda ninayoweza kula ili hali hii ipungue??
nilienda hospital nikapewa dawa funali NOSIC zilinisaidia kidogo lakini hali ikawa palepala nakunywa na naendelea kutapika.
mi mwenyewe naona hata we mwenyewe haupo sawa sawa, Hivi wewe ni baba gani ambaye huna hatachembe ya uchungu, huruma, kujali na kufikiri??????Mtoto ameshakudokezea kinachoendelea kati ya huyo Baba wa kambo, Unataka usikie amebakwa au ana mimba ndo utachukua hatua, au ulitaka akwambie aje...
Ni kweli tatizo la ngozi limekusugu sana. Binafsi ninasumbuliwa sana na mba kwenye ngozi(Utangotango) mgongoni na mikononi, Je tiba yake ni nin, hauwashi na wala siwezi kumwambukiza mtu, maana nina mtoto mdogo nahisi angeshakuwa amepata, nimefanya utafiti kiasi nimegundua kuna lotion...
Muhimbili fast track ni nzuri sana japokuwa ni gharama kiasi chake, ila unahudumiwa vizuri sana, Gharama inategemea kwani kuna kujifungua kawaida kuna bei yake na kwa upasuaji bei yake pia, , . Kwani mimi nilifanyiwa upasuaji 2010 kwa laki sita na nusu. sijui kwa sasa.( NILIHUDUMIWA...
Pole mwaya, huwa inategemea mwingine anaweza asimalize wiki 40, au akazidisha, au akapunguza,sasa jiweke tayari na vifaa vyako vyote, uwe tayari wakati wowote kuanzia sasa, pia uwe na mtu usikae peke yako , japokuwa uchungu wa mimba ya kwanza huwa ni mrefu kiasi, Pole Mungu akusimamie .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.