Search results

  1. M

    Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Mi Mshahara wangu ni 2,500,000/= na nalipa kodi 635,900/= sawa na 25%
  2. M

    WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

    Nafikiri kuna haja ya kusoma taarifa yote yote kutoka kwenye cable, link hii hapa Cable Viewer , Hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi waandamizi wa serikali wanavyojua kuwa kikwete ni weak, lakini wanvumilia tu kwa sababu ya matumbo yao. Tusubiri tutaona Mengi
  3. M

    TAKUKURU: Chenge hahusiki na tuhuma za RADA

    Jamani, Mkiona mambo ni hivyo mjue Hoseah kaagizwa na aliyemteua (JK), NA MKIONA Hivyo mjue anayegombea usipika ni (Lowassa, Rostam na JK) Kupitia kwa Chenge, haingii akilini kwamba Hoseah anaweza kutoa taarifa kama hii wakati ikulu haina habari.
  4. M

    Tanzania National Identities

    Muheshimiwa Rais Kikwete atalihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania siku ya alhamisi. Katika hotuba yake hiyo mojawapo ya mambo atakayozungumzia ni tuhuma za ufisadi zinazowakabili baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali yake. Sehemu mojawapo ya hotuba hiyo itazungumzia mapambano...
  5. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Tumekuwa tukiandika mara nyingi lakini watu wanatupuuza wakifikiri sisi ni wachonganishi lakini ukweli ni kwamba TAKUKURU inaenda pabaya, morale ya wafanya kazi ipo chini. sasa twende kwenye hoja yenyewe. 1.Kuhusu uchunguzi wa Richmond na TAKUKURU Mambo yafuatayo yafahamike. • Taarifa...
  6. M

    Hoseah na Richmond

    Tumekuwa tukiandika mara nyingi lakini watu wanatupuuza wakifikiri sisi ni wachonganishi lakini ukweli ni kwamba TAKUKURU inaenda pabaya, morale ya wafanya kazi ipo chini. Sasa twende kwenye hoja yenyewe. 1.Kuhusu uchunguzi wa Richmond na TAKUKURU Mambo yafuatayo yafahamike. Taarifa...
  7. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Wanatakukuru, 11.09.2007 Mkurugennzi Mkuu, Takukuru, S.L.P 4865 Dar es Salaam Yah: kilio cha wanakukuru tanzania Tunapenda kuchukua fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa na kisha kuapishwa kwako kama mkurugenzi mkuu wa takukuru. Hongera sana. Ni kwa uteuzi huo tunaamini mhe. Rais...
Back
Top Bottom