Search results

  1. T

    Open .rar File

    Asante sana. Nimefanikiwa ilanilikutana tena na challenge nyingine nilikuta file za RM nimafanikiwa kuzifungua kwa VLC 1.1.5
  2. T

    Open .rar File

    Asante ndugu. Nilijaribu Real Media ikawa inastack sana nikadowload VLC 1.1.5 na imekubali. Asante sana
  3. T

    Open .rar File

    Ndugu asanteni sana. Nimefanikiwa kufungua ila baada yakufungua nimekuta file zingina za .RM sijui ni program gani. Ila mtumaji aliniambia kua ni video tafadhali msaada
  4. T

    Open .rar File

    Nimetumiwa file moja nila .rar je hili file linafunguliwa na program gani?
  5. T

    Dell Vostro 1500: Msaada wa Kiufundi

    Look My Documents open at startup Do your desktop icons show up? Look in processes in task manager to see if explorer.exe is running. To open up the registry editor in task manager click file > new task > regedit > now you can continue with the this link http://support.microsoft.com/kb/555294
  6. T

    Dell Vostro 1500: Msaada wa Kiufundi

    Jaribu kufanya hivi. Right click desk top kisha nenda arrange Icon by then click show desktop Icon. Kama nimekuelewa tatizo lako.
  7. T

    Ni onesha au onyesha?

    Ndugu Salaam Neno sahihi ni Onesha na si onyesha kama nia yako nikumuonesha mtu kitu ua mahali. Onyesha hutumika kuonya. Kama mtu kafanua ndivyo sivyo anaonyeshwa. Wasamu
  8. T

    Going to the USA.

    Mimi nawashauri sana mufuatilie kwa makini sana kwani mimi na wasiwasi hao nimatapeli kwani nimeshakutana na watu wengi wakiongelea mambo hayo. Kama nihao watawaambieni mtume namba ya Passport ili waanze kushughulikia. Pia watawapa option kua kunanyingine sijui itafanyika Italy. Mtaenda nao...
  9. T

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Na aende safari njema
Back
Top Bottom