Search results

  1. G

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    kiukweli sikubaliani na mawazo yako ila nipo tayari kufa kutetea haki yako ya kutoa mawazo na maoni. hoja yako haina msingi kwa sababu unawashambulia watu sio vitu walivyosema, tuache ushabiki kuna mambo mengi ya kuafanya na kujadili kuhusu maendeleo na ustawi wea taifa ila haya ya kwako ni majungu
  2. G

    Chadema kitasambaratika baada ya 2015?

    chama hakiwezikufa 1. chama lazima kianze kuwa na ushabiki/ washabiki(popularity) baada ya kujulikana kwa sera madhubuti, misingi na mikakati yake washabiki wanajiunga kuwa wanachama, mfano ulio hai ni wanachama wengi wa ccm ukiwauliza hawana sababu za msingi za kuwa wanachama wa hicho chama cha...
Back
Top Bottom