Huyo mnafiki..tuulize tuliye kuwa naye shule tangia msingi (kokeharaka pri.) Kwanza ni hamnazo....chadema wajiangalie sana kuwapa watu madaraka katika chama ambao si wazalendo na wananchi...na arudi kwao masangora akalime tumbaku, kucheza kamali na kuchoma watu visu usiku wakitoka...
kama hukupata kushuhudia penalties shooting. walio mbele yako ni Essien na Ramires wakingoja kushangilia penalt ya mwisho iliyofungwa na Drogba hii picha niliichukua life.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.