Search results

  1. L

    Uwanja wa ndege Chato waibua mjadala bungeni

    Hakili yako ikiwa ndogo kuna tabia ya kufikiri mwenye hakili sana ni kichaaa ndo maana unashangaa wenye hakili sana
  2. L

    Mpango wa kuanzishwa magari ya cable kupanda mlima Kilimanjaro

    Cable car ije kirimanjaro halaka ili na sisi wachovu tufike kileleni[emoji38]
  3. L

    Muonekano wa Geita mpya

    Geita Ya 2020 siyo Geita ya 2015 ni kweli kuna kazi kubwa imefanyika kwa serikali ya awamu ya Tano,Hongera sana Mhe Pombe Magufuri Rais wetu mpendwa ,hongera sana mbunge wa Geita mjini Kamanda kanyasu Hongera sana mwenyekiti wa halmashauli na madiwani wote ,hongera sana mkurugenzi wa mjini kwa...
  4. L

    Wakatoliki wamchoka Papa Francis,atakiwa kujizulu

    Hii habal Ni ya kubumba ,Kanisa sasa liko katika mageuzi Makubwa ili kuyakabili mabadiliko ya kidunia
  5. L

    Tuliosema Magufuli aliteua bila kufanya vetting tuombwe radhi

    [emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️[emoji12]
  6. L

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Kuna Waziri mmoja ujeruman katika thesis yake ya PhD alinakiri taarifa za mtu nanhakuonyesha kuwa amekopy popote aliacha Ngazi kwa kuwa PHD hiyo iliingia dosari, leo wiki ya Tatu Daudi Bushite Bado yuko ofisini pamoja Na dunia Nzima kujua wazi kuwa Ana Elimu fake, kwa kuwa kiutamaduni tu wa...
  7. L

    Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

    Makonda kwa kashfa hizi anapaswa kuachiia madaraka kuondoa aibu ya serikali yetu
  8. L

    Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

    Aibuuuuuuu tupu tutee watu wote siyo mmoja ,wakat JPM ameanza vita ya vyetu Feki wote mlisema safi mkakataa kusema aache tuangalie utendaji leo David Bushite mnamtetea eti tuangalie utendaji,Acheni double standard
  9. L

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Waacheni watuhumiwa wajitetetee ili tujue waneonewa Au Ni kweli Lengo Ni kupambana Na Janga la madawa ya kulevya
  10. L

    John Kanyasu (Mbunge wa Geita Mjini) unahitaji Umeme wa REA Geita Mjini

    Mimi siyo mbunge wa kukurupuka, ninasema ninachokijua na nilichofanyia utafiti, unaweza kwenda REA website utakuta maeneo yao ya kazi. Wanaosema kanyasu mtu mitaaan wanichunguze upya nawapa muda.
  11. L

    John Kanyasu (Mbunge wa Geita Mjini) unahitaji Umeme wa REA Geita Mjini

    Nimesoma comments za wadau kuhusu kanyasu Mbunge wa Geita, kwanza niwashagae wote mnaoendekeza vijenbe bila kujua , Jimbo la Geita mjini lina kata 13 kama ifuatavyo kalangalala Mtakuja Bombambili Nyankumbu Buhalahala Kasamwa Bung'wagoko Bulela Shiloleli Nyanguku Ihanamilo Mgusu KanyalaUkiiondoa...
  12. L

    Mkuu wa Mkoa Mwanza: Wapambe marufuku kuelekea Dodoma!

    Ama kweli dunia hii Luna mambo!! yote haya kumzuia EDO mpaka dola linatumika kuzuia haki Ya mtu
  13. L

    Kutoka ukumbi wa BoT Mwanza: Wassira atangaza nia kugombea Urais

    badala ya kuomba uongozi Kwa kumshambulia Lowasa Mimi nazan alipaswa kutwambia yrye Kwa kuwa Na historian ndefu sana ya utumishi tunamkumbuka Kwa lipi? amewahi kufanya ninj kama Legacy? huwezi kujisifu Kwa kuzeekea serikalini Na ukawa Maskini,alafi yeye pia anatoa Rushwa Na ushahidi...
  14. L

    Benson Bana: Hakuna haja ya elimu kura ya maoni

    Kama taarifa ya habal watanzania hawaangalii muda ukifika waki buisy na Diamond, itakuwa vitabu vya katiba,?? Tuachen kupoteza muda,watanzania wengi hufanya mambo bila kufikili, angalua wavuta bangi sasa wamejaa bungen utasema mpiga kula alipata muda wa kufikil kabla hajapiga kula!?
  15. L

    Picha: Balozi wa China nchini Tanzania afanya ziara mkoani Kagera kuona fursa za uwekezaji

    Bukoba airport siyo airstrip .uwanja huu ndege za kati mapaka watu 70 zinatua
  16. L

    Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

    Diamond platinamuz £50
  17. L

    Mmiliki wa kampuni ya IPTL amesema hatakubali kampuni yake itaifishwe!

    Hakuna sababu za kutaifisha. Kama tumemchoka tufute mikataba aondoke
  18. L

    Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka

    Hata Rais akimuwajibisha Muhongo na Maswi Dunia ipo siku itajua pesa ile siyo ya Umma. Kinachoendelea ni Mengi kununua wabunge kuivuruga serikali.
Back
Top Bottom