Search results

  1. M

    Bosi Baada ya ku cheat na mke wa mtu amepatwa na janga mwaka wa pili sasa

    nimeshapiga ramli....hakuna kitu hapo ..mkwara tu
  2. M

    Bosi Baada ya ku cheat na mke wa mtu amepatwa na janga mwaka wa pili sasa

    Itapendeza sana kama ukinipatia nambari yake ya simu...
  3. M

    Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    Hizi nyimbo babkubwa sana aise ...amazing kwa kweli
  4. M

    Watanzania tumelogwa na nani tunashangilia walawiti kuachiwa, tumewafikiria wahanga?

    Tumepoteza muelekeo kabisa kwenye hili.....Na hakuna namna ya kuturudisha kwenye njia iliyo sahihi ...hatuna tofauti na chapati kwenye kikaango..Mpishi anageuza anavyotaka tu.
  5. M

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    kila jambo linafanyika kisiasa sana.....tunafundishwa kusamehe ni kweli ..lakini sio kwa hawa jamaa...walichokifanya hakiwezi kufutika kirahisi kwenye akili za wale watoto. na inawezekana kabisa wengine wakawa wameathirika kisaikolojia na hatimae kuishi maisha ambayo hawakutarajia kuishi na...
  6. M

    Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

    Wema anaweweseka tu, hajui kusoma alama za nyakati. Boss lady ameshamtangulia atasoma namba sana
  7. M

    K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

    Michejo yake na mzee Mengi inawahusu nini maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, kula maisha mtoto nakukubali sana
  8. M

    Mme hajiwezi kwenye tendo la Ndoa

    Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana. wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe...
  9. M

    Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

    Ah! hapa unatakiwa kuwa makini sana.kama walivyosema wachangiaji wengine,anaejua ukweli wa nani ni baba yako ni mama yako pekee.Kama hajakueleza mpaka unafikia Umri huu ina maana kuna siri kubwa anayo moyoni ambayo huenda kama ikivuja inaweza kugharimu uhai wa ndoa yake ama maisha yake kabisa...
  10. M

    Nimeamini kwamba gari ndio uchawi mkubwa unaowatesa wanawake.

    nakukubali sana kaunga,kwanza huwezi kutoka out na mchimba wako bila kujipanga tena ukizingatia unaenda mbali na nyumbani tena beach hotel.jamaa ameongeza sana au ametengeneza story.
  11. M

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Nimeipenda sana hii huyu mama Makinda anatakiwa aigw huu mfano wa mama tibaijuka ili na yy athibitishe uwajibikaji wake kwa jamii ya watanzania.
  12. M

    TUCTA Yajitutumua tena, kudai kima cha chini 315,000

    Hao TUCTA mi nawaona kama wapiga ngoma ya mdundiko.maana mgoma inazimwa eneo tofauti na ilipoanzia ,fuata upotee
  13. M

    Dr. Slaa anasa mikakati na njama za kukihusisha CHADEMA na kutekwa Kibanda

    mkuu ebu weka vizuri maana sioni kama uaneleza kitu kinachowiana na hii mada ,nahisi hujaelewa vizuri kinachoendelea hapa!
  14. M

    Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    Hapa ndio huwa nakosa majibu maridhawa ,maana wenzetu waliopewa jukumu la kurinda raia ,nchi na mipaka yake wao ndio chanzo cha hatariya usalama wa raia. Then wanakuja na zana ya ulinzi shirikishi ,nani anaweza kushiriki na wahuni kama hawa?
  15. M

    Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Ah! sipati picha ndoa hizi jamani kweli ndoana! binti ana miaka 17 ,kiongozi wa wananchi ana miaka 47 ,amebaka huyu.Any way mama uliapa kwa shida na raha,shida ndio hizo ww subiri kifo kiwatenganishe wala usiondoke shem!
  16. M

    Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

    Mpe pole sana snow white,may God rest our grand F in peace!
  17. M

    Kuongeza size ya machine

    Sidhani kama nyeto inasababisha kupungua saizi ya machine,labda wadau wanipe shule zaidi .Remember ,The Law of Use and Disuse — The parts of an organism's body that are used become more developed; parts that are not used become smaller and may disappear Ushauri: Ongeza frequency ya kuitumia...
Back
Top Bottom