Search results

  1. Ben40

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    Hahahaha nimecheka sana ni swala la muda tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Ben40

    Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

    Kuimba ni kupokezana nawaza tutajificha wapi sisi wengine
  3. Ben40

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kabisa yan [emoji3][emoji3][emoji3]Pengo la Wenger linaonekana Man U
  4. Ben40

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    OK shukran kwa taarifa
  5. Ben40

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii inapigwa ln
  6. Ben40

    Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

    Upo sawa mkuu ila kama hataki usimlazimishe
  7. Ben40

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nenda Hospitali kuna mawili upewe dawa au op. Ndogo
  8. Ben40

    Wizara ya Afya angalieni hizi saluni za kunyolea nywele na maambukizi ya UKIMWI

    Kwa Magojwa ya Ngozi sawa nakubali bila ubishi inawezekana ila ukimwi bado
  9. Ben40

    Wizara ya Afya angalieni hizi saluni za kunyolea nywele na maambukizi ya UKIMWI

    Kwa kuongezea aliefanya research alete majibu tujue au kama kuna aliepata kupitia Saloon aseme kuna kitu tunachanganya hii ni kwa faida ya watakaoelewa Spirit ni nzur kupaka sehem nyingine lakn sio kwenye Ngozi ina tabia ya kufungua nashindwa nitumie lugha gani hapa inafungua vinyweleo/air...
  10. Ben40

    Msaada tecno CX inaingiza chaji kwa spidi ndogo

    We umeongea nilisahau chaja yangu sehemu simu skuwahi kujaza kwa chaja nyingine
  11. Ben40

    Camera problem.

    Mkuu unaweza washa na kuzima sim au I restart uje ulete majibu pia
  12. Ben40

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal wamecheza watu tulishakata tamaa aisee
  13. Ben40

    Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

    [emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ben40

    Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

    Hahaha mkuu utakuta wamefungiwa hirizi [emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ben40

    Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Ben40

    Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    Chris Shalom Power Belongs to you Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Ben40

    Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    Kuna huyu anaitwa Frank Edwards nyimbo inaitwa Haleluya na Steve Crown All the Glory kama hujazisikia kazitafute then urudi kwa feedback Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Ben40

    TANGAZO

    Anaenda na barua yenye maelezo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom