Search results

  1. K

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Mi naamini kabisa kua ni ya kweli, sasa kama wao wanasoma kaswida tu na kupigania kuvaa kininja nani atawaweka katika sekta muhimu! Mtaendelea kusoma namba kila siku. Jiulize ni shule gani ya kiislam inatoa best students hapa bongo. Au necta inawachakachua?
  2. K

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Nimeishia pale kwenye kubomoa mabucha kitimoto aka mdudu nikaacha kusoma. Sasa nyie mnatia mchanga mboga halafu mnataka muangaliwe tu! Nyambaf! Chezea kichapo mpaka unaomba kubatizwa na maji ya bahari.
  3. K

    CV ya Paul Mzindakaya

    Acheni uvivu wa kufikiri, let's hop atabadilika kwenye majukumu yanayo wagusa moja kwa moja wa tz! Angeachwa huko huko kwenye ccm wala hata tusinge qn
  4. K

    CV ya Paul Mzindakaya

    Chezea bieree za bure weye! Tehe tehe yaani wewe inaonesha ni jinsi gani unatetea ili mzinda aje kukufaa hapo baadae! Eti baba yake alikua so and so! So what? Mambo ya kugawana madaraka kwasababu fulani ndo yanatu angamiza wa tz. Tetea hoja kwa point za msingi sio kutetea sababu ya bia anazo...
  5. K

    Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

    . Halafu we nyangumi sisi tunazungumzia kura hapa, sio kupeana kula. Toa sababu madhubuti na zenye hoja hata tusio mjua huyo magufuli tushawishike.
  6. K

    Serikali ya awamu ya nne imevunja baraza la mawaziri mara ngapi?

    Hivi serikali yetu ipo kwenye majaribio au ndo inafanya kazi. Mbona mambo yao kama mchezo wa kibaba na mama.
  7. K

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    Wakristo wapo bze kusambaza makanisa ya ukweli vijijini, kujenga vyuo vikuu vya ukweli bila kutegemea majengo ya serikali, kuhakikisha shule zao za sekondari watoto wanafaulu kwa kiwango cha kimataifa na mabo mengine ya mendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Cha kushangaza watu walio kalia...
Back
Top Bottom