Search results

  1. mfirigisi

    Kamishna Minja wa Magereza Matatani

    wachaga wengi wao ndio mafisadi makubwa ya nchi hii
  2. mfirigisi

    Hapa Kazi Tuu: Abdulrahman Kinana yuko wapi?

    hatua nyingine, Rais Magufuli jana alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba. Chanzo cha kuaminika kiliiambia MTANZANIA jana kuwa pamoja na Profesa Lipumba kumpongeza Magufuli kwa ushindi na kutoa hotuba nzuri katika...
  3. mfirigisi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa Arusha na Katibu Mwenezi wa Mkoa Wajiuzulu na kuhamia CHADEMA

    DR KAMANI simba wa vita aliyepania kuibadilisha Busega
  4. mfirigisi

    Dk. Slaa aacha ombwe CHADEMA

    Dr slaa si mnafiki
  5. mfirigisi

    MH. Mwigulu ni Mtetezi wa wanyonge bila chembe ya shaka

    Hapa hatamimi nampa big up sana huyu kijana mwenzangu kipindi anaongea nikawa namsikiliza kwa makini kama kiongozi,mbunge,waziri,mzalendo wa tz yaani tukiwa na watu wenye maamuzi na wanaojali maslahi ya wananchi hii nchi tungefika mbali sana
  6. mfirigisi

    Kafulila,Tibaijuka live Star TV

    tibaijuka: ni ko jamiiforum, niko tweeter maana vijana wengi wako huko
  7. mfirigisi

    secretarieti ya ajira utumishi mjirekebishe

    ni kweli mkuu yapo mengi sana yanayokera kwa hiki chombo ....watu tunalalamika kila siku lakini hawataki kubadilika,wameweka email kwenye wabsite yao kwa ajiri ya complain tumewandikia tumewambia lakini mambo ni vilevile
  8. mfirigisi

    secretarieti ya ajira utumishi mjirekebishe

    secretarieti ya ajira kupitia utumishi wa umma ndio mliopewa jukumu kubwa la kuajili lakini shughuli zenu zinakera sana hamfuati hata utaratibu mlioweka wenyewe ...kuna tangazo la kazi mlitangaza september 25, 2014 mpaka leo November 24 sioni kuitwa mtu ata kwenye interview mbona mnakuwa...
  9. mfirigisi

    Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

    Ha ha ha leo umenifanya nichekee kweli JF ni zaidi ya burudani
  10. mfirigisi

    Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

    NASDAZ NA RUTTASHOBOLWA Mulichokiongea ni kweli mtupu nakubaliana na nyinyi kwa 100%
  11. mfirigisi

    Mpangaji mwenzangu vipi huyu

    tabia zako za umbea umbea jamaa inaonekana hazipendi
  12. mfirigisi

    Mambo 21 muhimu ya kufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye mafanikio

    Hakuna maisha ya Mafanikio kupitia hizo tips zako Huwezi kutumia falsafa za kutoka kusikojulikana kutuaminisha sis eti ndio njia ya mafanikio ...eti usiangalie tv...? kula milo miwili kwa siku hapo ndio umeprove failure ....sayansi yenyewe inashauri mtu ale milo kamili mitatu au milo...
  13. mfirigisi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    usipende kuonekana mjinga kila sehemu wewe ulijuaje ulikuwa mda wa lecture harafu isitoshe hujui elimu ya chuo ilivyo....ndio maana watu wanakuona kichwa maji.....kichwa lisilokuwa na akili na adhabu kwa mwili
  14. mfirigisi

    Mwigulu lione hili pia

    pole sana mkuu najua jinsi gani unajisikia uchungu juu ya hilo ukizingatia familia zetu tunazotoka ni za kimaskini ...ulipata div gani?
  15. mfirigisi

    Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

    kichaa siyo lazima aokote makopo
  16. mfirigisi

    Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

    Yamoto band ikiongozwa na Mkubwa fela wakijulikana kama mkubwa na wanae wakiwa na nyimbo kali zilizotamba na zinazoendelea kutesa kama Nitajuta ,mapenzi ya moto, niseme na INOOH. Sasa wametoa bonge la nyimbo wakimshilikisha kijana mwenye sauti ya dhahabu aliyeimba wimbo wa mama Christian...
  17. mfirigisi

    Laptop inauzwa Tsh 350,000/=

    habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER kama uko tayari ni text kwenye no 0759264999 niko Dar es salaam
Back
Top Bottom