Search results

  1. T

    Natafuta kazi ya udereva wa muda!

    Ebwana poa ntajaribu kwenda,ndo nililojifunzia kaka!
  2. T

    Nasikia kuna degree za "chupi"

    Jamani wana jf naomba mnisaidie katika hili,juzi katika pita pita zangu nilikuta watu wakizungumzia kuhusu degree ambazo wanachuo huzipata huko wanakoita chuo kikuu. Sikuelewa pale nilipomsikia mmoja wa wachangiaji wa ile mada akisema "kwani siku hizi ni degree basi!,ni degree za chupi tu"kwa...
  3. T

    Natafuta kazi ya udereva wa muda!

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nitakuwa likizo kwa muda wa miezi miwili kama kuna kazi itatokea inahitaji dereva niko tayari kufanya kazi kwa makubaliano. Ni mwanachuo chuo kikuu cha tumaini,college ya Lushoto,nina driving licence yenye madaraja yafuatayo A,D na E lakini najua pia...
Back
Top Bottom