Search results

  1. kigol

    Mapenzi ya utotoni...

    Sasa hivi napenda helaa mbaya mapenzi kigezo tu!
  2. kigol

    Mapenzi ya utotoni...

    Aisee kuruka stage ni mbaya sana , haitanoga kama enzi zile tenaa
  3. kigol

    kunatatizo kama mnacheza mechi mkatoka droo 0-0

    Tatizo ni hizo sala,, mnafanya official sana
  4. kigol

    Mapenzi ya utotoni...

    Poor Me! si kufaidi mapenzi ya utoto, mapenzi yangu yalianzaa chuo kikuu!
  5. kigol

    Joyce Kiria unahitaji shule

    Afadhali mimi niliacha kuangalia kipindi chake longtime, anapumba sanaaaa
  6. kigol

    Kuumizwa kwenye MAPENZI

    Hii nimeipenda!!
  7. kigol

    Kuumizwa kwenye MAPENZI

    ninachotaka kujua ni nani wenyewe macho juu, hawaridhiki nakusababisha maumivu kwa wengine zaidi?
  8. kigol

    Kuumizwa kwenye MAPENZI

    Hivi kati ya Wanaume na Wanawake nani wanaongoza kwa kuumizwa kwenye mapenzi ,kupigwa chini (Heart broken) ?
  9. kigol

    Kuna ubaya kupishana miaka 10??

    Wangetudhibitishia hawa kama kweli haina ubaya sio mnasema tu kwavile mnawaona, wenye experience ndio watuambie
  10. kigol

    Kwa wanachuo na waliopitia chuo na wengine karibuni

    Acheni kegeneralize vitu mbona hata mtaani watu wanamabwana kibao kuna mlipa kodi, wasaloon,washopping , wamsosi na washowoff a.k.a handsome sasa mnaposema vyuoni mnakosea. Maclassmate wangu wengi wameolewa na maboyfriend zao wa chuo.
  11. kigol

    Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

    Sidhani kama muhemko unasababishwa na kuona tu! Kunafactor nyingi zinasababisha. 1. It's natural kama uko kamili 2. Kugusa 3. Msuguano 4. Hisia etc.
  12. kigol

    She Makes Me Cry

    Tatizo DINI, je wazazi wake wako tayari ubadili dini ? au wanataka mtu aliyelelewa na hiyo dini yao?
  13. kigol

    Hivi inawezekana ana ujauzito wangu kweli au ananizingua tu?

    La muhimu ni kwenda kupima ni ya muda gani? kwanini kuandikia mate
  14. kigol

    What's your best love song?

    Jamani is this a love song???? :disapointed:
  15. kigol

    It's 2012 and still love this song. Wewe je????

    Georgina by Marijani " Umeondoka Georgina Umeniaachia masikitiko .... Ooh Georgina "
  16. kigol

    Why this..?!

    Mi nafikiri na malezi ndio yametuadhiri kwamba mwanaume ni mtoaji (Atatafuta kwa jasho) mwanamke ni mpokeaji. Myself nakuwa comfortable kama my man can provide.
Back
Top Bottom