Search results

  1. khayanda

    Wahadhiri vilaza huzalisha wasomi vilaza

    Sijui kwa uelewa mdogo, hii ilikuwa TEST au kwa kiswahili ni JARIBIO tena la kwanza hopefully aliyehusika alilenga kupima uelewa wa wanafunzi wake kwa hilo somo ili kupanga wapi pa kuanzia kumjenga au kuwajenga hao wanafunzi na bahati nzuri huyo mwanafunzi ktk mwaka wa pili bado alidhihirika...
  2. khayanda

    Varangati: Mbunge Msigwa na DC Kasesela nusura ngumi zichapwe

    Ndiyo maana wengine wanenda kwenye maafa wanawabeba waandishi wa habari badala ya kubeba waathirika hahahahahahaaaa ili mwenye nchi amuone
  3. khayanda

    Sababu zilizosaidia ndege ya Nkurunzinza isitunguliwe Bujumbura

    Bigup mkuu imekaa vizuri na nivizuri na wajanja wengine waelewe, Message sent
  4. khayanda

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Ndugu faizaFoxy kama una kimo kifupi yawezekana inaashiria akili zako zilivyo, wanajeshi wachukue mabasi wapeleke wapi??? kama njia yote haitatakatishwa kwa magari mengine kugongwa tu. Wenye mabasi kama wanaona wanajeshi ni madereva basi wawaajiri
  5. khayanda

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Tujuzeni kinachoendelea maana tunampango kuja Dar kesho kwa shughuli muhimu
  6. khayanda

    Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

    Kipele mwisho huwa jipu na kulitumbua kwake kutaambatana na maumivu makali
  7. khayanda

    Nina kasumba ya kutopenda kila mwanamme anaenitokea

    Mm sijali una umri gani wasiliana na mimi
  8. khayanda

    Wafrika tuna mambo!

    Ngoja nipite tu
  9. khayanda

    Nampenda kimapenzi mama mmoja naibu waziri jamani nifanyeje

    Napoleone uinzi wako unataka vizee sasa au unataka pakupata mafao au pakufia, katafute shamba ulime maana unaonekana unanguvu sana kutosha kubeba vizee
  10. khayanda

    Lowassa awalaani wanaomzushia mambo kupitia Mitandao ya Kijamii!

    Hivi hili nalo niala kujadili?? kuna nini tena
  11. khayanda

    Wafuasi wanaodaiwa kuwa wa CHADEMA wamshambulia dereva wa Mwigulu Nchemba

    Mbona walipigwa wenye nchi yao hukohuko na majirani akina Mwangosi na Ulimboka hamkusema itakuwa dereva wa Mwigulu?? Jamaa wamekosea na lazima ilikuwa usiku jamaa akaamuru ashambuliwe asijue ataua dereva wake
  12. khayanda

    Wafuasi wanaodaiwa kuwa wa CHADEMA wamshambulia dereva wa Mwigulu Nchemba

    Huyo Mgimwa nu dada vakhe valye lulyo, mnafanya wenzenu vangaya siida kila siku mle nyie tu achieni na wenzenu mwisho na kijukuu cha mgimwa kitagombea Mgimwa wa sasa akifa, eeehhh nyee mwidesa kabisa
  13. khayanda

    Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

    Ujanja ukiwa na skafu yako na majidai kibao kumbe nyumbani ni houseman, kwisha habari yako tena anakuambia nikuone nje utanitambua!!! hahahahahahaaaaaa!!!!!!!!!
  14. khayanda

    Mfanyabiashara maarufu wa Madawa ya Kulevya, Shkuba akamatwa

    Nyimbo hizi hata hazivutii ebu tusubiri chorus yake ndiyo tujadili zaidi watu watasahau hili tutaanzisha jingine
  15. khayanda

    Naombeni ushauri - serious

    Vumilia tu yawezekana kuna mbia kati yao hivyo usijute kama umeamua kushiriki zinaa
  16. khayanda

    Ujumbe wa simu unaosambazwa kwa wajumbe wa katiba kuhusu posho na hoja ya serikali 2. Hatari!!!!!!!

    Piga chini wote kuna vichwa bado viko uraiani vinaweza kututengenezea katiba ya maana badala ya waraka wa vyama wanaotaka kututengenezea hawa jamaa. Imefika wakati tukazibe na zege jengo la bunge ili jamaa watoke wote maana wamegeuza hiyo ndiyo sehemu yao ya mavuno bila kutoa fungu la kumi
  17. khayanda

    Jaman Kukosa Ajira Huku...

    taabu ya watoto wa startimes nyie kazi haisubiriwi inatafutwa, ulipelekwa shule kwenye gari yenye kiyoyozi unasubiri upewe ofisi yenyekiyoyozi utakula jeuri yako
  18. khayanda

    Dira: Bunge maalamu la katiba

    Wale jamaa zangu wa chama fulani wanangojea siku ya kupinga serikali tatu watajaa haoooo!! siku hiyo hata mama nitilie watafanya biashara. Pesa yote hiyo waliyopangiwa nafikiri tuombe katibu wabunge afanye mrejesho kila siku tujue wangapi hawajahudhuria ili pesa yetu irudi hazina tununulie...
  19. khayanda

    Wasiajiriwe Tena Ambao Hawakuripoti Mwaka Jana

    Boresheni mazingira ili watakaoripoti washawishike kubaki huko. Haya yote madhara ya kufuta JKT wakati wetu ukipata chaka la kuripoti huko ndiyo kuzuri maana ni kama "umejongo" waliopita JKT wanajua maana ya hili neno, huko hutegemei kukutana na mkaguzi ila unaripoti mjini kufuata chako kama...
  20. khayanda

    Anataka kujiua kisa Dini

    Muache ajiue huko anakoenda atawakuta waislamu na wakristo wengi tu waliotangulia ambao hawakuolewa, dini ndiyo inanunua ugali?? acha hizo, kama ameishakuachia vitu tundika mimba tuone kama itataja jina la dini fulani:car:wacha mm niondoke zangu
Back
Top Bottom