Search results

  1. B

    Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    tatizo hawakusikilizi mkuu wa kaya,ila itafikia mahali watakukumbuka tu.
  2. B

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    naifahamu drc japo kidogo kwani nilishawahi kufika lubumbashi,likasi,fungurume,tenke,kolwezi,kipushi na goma.juzi juzi kulikuwa na tishio la maimai kuanzisha vita,nilikuwa lubumbashi ilikuwa balaa mjini maduka yalifungwa mapema saa saba.wenyeji wanasema hao jamaa hawaingii risasi nikakumbuka...
  3. B

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    Cna la kusema ila kwanza mama dr angejiuzulu,nasikia hata mtt wake wa kiume hana unyenyekevu wa mtt wa mchungaji.nafikiri na kanjsa ungekabidhi wacha MUNGU wanyenyekevu wa kweli waliongoze
  4. B

    Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

    t Tatizo c kulipa hizo 30000,ttz ni je zinatumika kufanyia kazi gani?.usikute zinaishia kwenye posho za safari na vikao visivyo na tija
  5. B

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    kwa mtazamo wangu jk alitakiwa amwombe lyatonga mrema amsaidie kwenye hiyo wizara ya TAMISEMI maana ndio imejaa wababe wanaosubiri 2pesa zifike wazihamishie kwenye mifuko yao.namtaja mrema kwa kuwa mara nyingi anamuungaga mkono,nishati na madini apewe magufuri co yule prophesor kisa anajua...
  6. B

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    baadhi ya wizarz zangu,nishati na madin MAGUFURI manaibu mulugo na filikunjombe;ujenzi MWAKYEMBE;TAMISEMI wangemuazima LYATONGA MREMA maana hakuna m2 pale CCM wa kuvumilia mamilion ya halmashauri zipitie kwake kwenda kurepair barabara za udongo na mashimo ya choo huko bush,wkt yeye anajua...
  7. B

    Kuwa waziri kabla ya kuapishwa kuwa mbunge

    mi cjali hataakiamua kuteua katibu kata wa ccm kuwa waziri,angalia anafukuza waimbaji [mawaziri]anawaacha watungaji[makatibu wakuu na wakurugenzi].hata hao aliowateua wata2ngiwa nyimbo nyingine na wataziimba 2 na watabadilishiwa tune ili tusishtuke,mapema.makamanda kuweni makini.
Back
Top Bottom