Search results

  1. I

    Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    mbeya mjini hapa nina mh:Joseph Mbilinyi,mbozi mashariki sio mbaya sana maana huyu jamaa Geodfrey Zambi toka achomewe nyumba amebadil4ka 7ana.
  2. I

    Mama mwenye nyumba aaga kwenda SADEC

    Nimempenda jinsi alivyo aga kwani amekiri kuwa watu wake wamelikoroga na amesema atawafunda kwa makosa waliyofanya.lakini mmmmmmmmmm!!!!!
  3. I

    Mwigulu nchemba ndani ya tuongee asubuhi Star TV

    kama ningekuwa kama mimi mwigulu kiukweli nisingethubutu kujitokeza kwenye king'amuzi cha startv.lakini huyu jamaa katokelezea huyu ndo mwigulu msomi ambaye elimu yake haimsaidi yeye walamke wake na watotowake.
  4. I

    Mbeya kwa waka tena ni vurugu nyingine.

    Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na...
  5. I

    Mbeya kwa waka tena ni vurugu nyingine.

    Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na...
  6. I

    Kibonde ataka Bia iruhusiwe maofisi ya Serikali

    mimi nimjuavyo kibonde ni mtu mwenye utani mwingi,so sitaki kuamini kuwa alikuwaserius ktk hilo ila naamini kunaujumbe alikuwa anaufikisha kwa walengwa hivyo kibonde si mtu wa hovyo kiivyo jipe mda wa kuktafakas4 kauri zake.
  7. I

    Takukuru yenye meno, sio tu ya maneno

    ni kweli mkuu usipate shida hata mwanafunzi hujipongeza kwa kuongoza ktk darasa lake bila kuzingatia uwezo wa washindani wake hivyo hosea yuko sahihi kujipongeza maana anaona amefanikiwa wakati sisi tunaona hakuna kitu kafanya na hivi sasa yuko hewani kupitia itv na se.munzv
  8. I

    Kipanya hapa sijakukubali

    hata mimi wewe mwandishi wa mada sijakukubari,kwani wewe unatakaje?kipanya kaelekezwa cha kufanya ile kazi si yake nenda kwa gazeti la mwananchi uone vitu vyake.
  9. I

    Jamani jamani wizara ya afya hii ni tiba au angamiza?

    Jamani sijaamini nilichokiona na kukisoma kwenye gazeti la tanzania daima jumapili hii,ndugu zangu wanajamii forum kwenye gazeti hili ukurasa wa 8 kuna habari na picha ya mwanaume aliyeota maziwa kama mwanamke inaanza kwa kusema hivi:Kuirhi ni kuona mengi hasa baada ya kumwon
  10. I

    ZANZIBAR IACHWE IENDE ,Na Lula Wa Ndali Mwana Nzela

    by Baraka Mfunguo at Friday, June 01, 2012 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook,KWA nini tunazungusha maneno? Tuseme ukweli tu kwamba endapo Muungano utavunjika wa kulaumiwa si Wazanzibari bali ni Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeshindwa kuonyesha uwezo wa...
  11. I

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    nasikitika kuwa mmepoteza maana ya topic,topic inasema "kama suala ni muungano makanisa yanaingiaje?" hiyo ndiyo agenda naomba tuijadili kunamahusiano gani kati ya muungano na makanisa naomba niseme kuwa ndugu zangu wazanzibari acheni hayo mnayo yafanya maana kila unachopanda utavuna na hii...
  12. I

    Shibuda: Upinzani ni sawa na chokoraa

    kwa tafsiri ya wanyiha wa kule mbozi mbeya neno'shibuda'linamaana ya muuaji.Sasa kama hii ni tafsiri sahihi basi shibuda na kauri zake zinaonyesha jinsi alivyokukuwa amenuia kuua upinzani ila sasa ameshindwa ananza kuweweseka dawa yake ni kumpuuza kama mh:Samweli Sitta alivyo mpuuza DAMU K.malima.
  13. I

    Nasema hivi! Siogopi mtu yeyote yule ktk hilii vyovyote iwavyo.

    Ndio siogopi mtu hasa ktk swala ninalo ona linalenga kuninyima haki yangu kama mtanganyika hata kama nimezaliwa ndani ya inayo itwa Tanzani.Ngoja niwaambieni ndugu zangu wana wa JF mimi nimebahatika kuiona katiba ya nchi yangu ya Tanganyika,Japo kwa mbinde lakini nimeipata na nafanya mpango wa...
  14. I

    Tanzania ndio nchi inayo ongoza duniani kwa sasa kwa mfumuko wa bei unalijua hilo?

    Wapi sijaeleweka mkuu maana nimeweka kila kitu na nimewaomba wana JFkujipa mda wa kufuatiliam mambo na kwa taarifa yako nchi yenye mfumuko mdogo zaidi iko bara hilhil la africa nayo ni morroco yenye asilimia 0.8% upo hapo ndugu yangu.ukweli ni kwamba nchi hii haina mwenyewe hivyo kila mtu...
  15. I

    Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema)

    mimi naamini kuwa Jonh shibuda ametumia haki yake ya kikatiba katika kusema yaliyomo ndani ya moyo wake, na hasa kwa kuwa havunji wala hajavunja sheria yeyote ya nchi hii,badala yake ninyi mnao mtukana ndio mnao vunja sheria za nchi hii.Pia nionavyo mimi shibuda alicho kisema...
  16. I

    Tanzania ndio nchi inayo ongoza duniani kwa sasa kwa mfumuko wa bei unalijua hilo?

    Tnzania ndio nchi inayo shika nafasi ya pili duniani kwa mfumuko wa bei ya vitu mbalimbali ikiwa ina aslimia 19% yamfumuko ikitanguliwa na venezuela yenye aslimia 24.60% hii ni kwa mujibu wa shilika la uchumi duniani na kama unataka kuona zaidi lini mfumuko wa bei nchini tanzania ulikuwa ni...
  17. I

    Nani anajua kuhusu tanzania bara?

    :smile:Ndg zangu naomba mnisaidie kujua mahari ilipo hii nchi inayojulikana kama TANZANIA BARA.Ninaomba kama yuko mtu anaye ijua nchi hii anisaidie kwa kunijibu maswali kadhaa yafuatayo 1:Nchi hii ya TANZANIA BARA iko BARA gani hapa duniani. 2:hii TANZANIA BARA je iliwahi kuwa chini ya koloni...
  18. I

    Nape tumia akili

    wana jf nawaomba tumpe mda huyu kijana naamini siku si nyingi naye atafanya maamuzi na hasa kwakuwa yeye hana doa la ufisadi mimi ndivyo ninavyo mwona hivyo tumpe mda maana huyu niimwenzetu aliye kambi ya maadui akifanya kazi ileile ya kuwaangamiza maadui wetu
Back
Top Bottom