Search results

  1. O

    The emerging heros in CHADEMA

    makamanda mnatisha. Kazeni buti mfikie malengo. Msilombane wenyewe kwa wenyewe maana mkifanya hivyo, mtapoteza dira. Nawatakia kila la heri wakuu.
  2. O

    CHADEMA yavunja rekodi Tunduma

    Na bado. Kesho mh. Vincent nyerere mbunge wa musoma mjini atatua iringa kuungana na mwenyeji wake mh.peter msigwa mbunge wa iringa mjini katika harakati za kuuelimisha umma juu ya haki zao na lengo la kushika madaraka ya nchi. Wana iringa jitokezeni kwa wingi. Mkutano ni saa nane mchana.
  3. O

    Serikali yakimbia bungeni, yaogopa mapigo ya upinzani, spika ainusuru kwa kuahirisha Bunge

    AIBU AIBU AIBU!!!!!! Serikali leo imeonesha udhaifu mkubwa sana kwa kukimbia bakora ya bunge kwa kutojiandaa vema katika kuwasilisha muswada wa fedha "FINANCE BILL" na kusababisha bunge kuahirishwa mara mbili mfululizo. Kwa mtindo huo, niombe tu CHADEMA wajiandae kukamata madaraka ya DOLA...
  4. O

    Serikali yakimbia bungeni, yaogopa mapigo ya upinzani, spika ainusuru kwa kuahirisha Bunge

    Sasa hii ndio solution yako? Mbona na wewe unalalamika? Jadili hoja
  5. O

    Serikali yakimbia bungeni, yaogopa mapigo ya upinzani, spika ainusuru kwa kuahirisha Bunge

    Leo katika historia ya Bunge la Tanzania, kumetokea kituko Bungeni. Kituko namba moja ni kutowasilishwa kwa hati mezani (Finance Bill) na kituko cha pili ni kutosomwa kwa Finance Bill kama ilivyokuwa imeoneshwa kwenye ORDER PAPER YA LEO. Kuna tetesi kwamba Serikali ilimwomba Spika ailinde kwa...
  6. O

    MAHAKIMU nao njiani KUGOMA...

    Kwani unataka kuwa hakimu?
  7. O

    Hotuba Rasmi Kambi ya Upinzani - Makadirio ya Mapato na Matumizi Wizara ya Fedha na Uchumi 2012/2013

    Hii ndiyo maana ya Kambi Rasmi ya Upinzani, kuonesha njia mbadala. Hotuba hii imesheni mambo mengi mazuri ambayo yakizingatiwa umasikini Tanzania bye bye!!!! The speech is surely inspirational and it realy shows that The Opposition is now ready and capable to assume state power.
  8. O

    Mch. Peter Msigwa: Wizara ya mali asili na utalii inafuga mafisadi

    Jadili hoja, usijadili peripheries
  9. O

    Mch. Peter Msigwa: Wizara ya mali asili na utalii inafuga mafisadi

    Leo Mchungaji Peter Msigwa ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuonesha jinsi uongozi wa Wizara ya Mali asili na utalii unavyowatetea mafisadi na majangili wanaohujumu uchumi wa nchi. Kwa taarifa zaidi soma taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyoambatanishwa.
  10. O

    Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

    "Nanyi kwa Subira yenu, mtaziponya nafsi zenu" Mh. Selasini sijui nikuambie nini ili ufarijike, maana kama ni majaribu umeyapata brother. Ila neno hili likutie faraja kwa uvulivu na subira yako utaiponya nafsi yako. Wala usifikiri hata mara moja kwamba Mungu amekuacha au hakupendi tena kwa kuwa...
  11. O

    Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Where is the MUUNGANO spirit now? Mama needs to think twice.
  12. O

    Kwanini Gwanda lisiwe Vazi la Taifa

    Kamanda wangu wasikutishe hawa hawana lolote. We subiri 2015 ndo watachagua kuvaa kanga ama gwanda.
  13. O

    Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

    Wewe unayejiita Genius Brain pamoja na wale wote wliokuunga mkono katika hoja yako ya "Dar ina wenyewe" ningewashauri mwende mkaogee magadi ili muondokane na mkosi/gubu lililowakumba. Ni vema mkafanya hivyo ili msieneze mkosi huo kwa walio safi. Maana mumenukisha hali ya hewa.
  14. O

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    vipi mkutano huo utarushwa kwenye luninga kama wa jangwani? Tujlishe ili tujipange.
  15. O

    Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

    Kwa kweli Bunge letu linatupa matumain. Mr Sugu BIG UP!
  16. O

    "When the Giant Seeks Refuge to the Dwalf"

    It is often unbecoming for the strong to surrender to the weak for protection. But today, in Arusha something happened which refutes this outlook. I was shocked if not terribly astonished when I heard from the Radio One breaking news that one ruling party cadre in Arusha (Youth Wing) crossed to...
Back
Top Bottom