Search results

  1. A

    DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    Hakuna chochote...Wale wanapigwa na Tanzania kwa siku 3 tu, Kwanza hana support ya Wananchi walio weeengi ambao ni 80% Wahutu, only 20% tutsi.,Pili Kagame anatawala kwa Mkono wa Chuma, Mema ya nchi yanaliwa na Jeshi na elite wa kitutsi,Raia Maskini weeengi wanaogopa kusema,na hakuna Uhuru wa...
  2. A

    Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Acha Uwongo,,Chancellor wa Ujerumani alitangaza muda kwamba Hatogombea tena...Russia nu muda tu utasema. USA NA ULAYA Magharibi haijawahi kushindwa,,unajua sababu ni nini?? Vijana kutoka nchi zinazofuata siasa za mkono.wa chuma kama Russia, China,Ulaya mashariki,na hata Uarabuni,,wanapenda...
  3. A

    Kiingereza cha Rais Samia

    Acha ushamba na Lugha wewe...Katafute hela, ukiwa na pesa Lugha ni mapambo tu...Wenzako wanakula mema ya nchi, weme umekazana na Lugha ya mkoloni. WATU WEUSI NA KUJIFANYA KUJUA SARUFI NA FASIHI YA KIINGEREZA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. A

    Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

    Sjaelewa,,ma Rc kuwakamua Uber na Standard chatt
  5. A

    Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Acha hizo mambo,,ni makubwa saaana kwa akili yako..jikite na Siasa hizi ndogondogo za pangu pakavu tia mchuzi...Achana na Siasa zinazohitaji akili nyiingi...Ugomvi wa Russia na Ulaya pamoja na USA,ni mambo makubwa kwa kiwango chako cha Siasa za Tz..tafuta wapiga kura Kigoma, uwe Diwani kwanza...
  6. A

    Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

    Daaah,,tena wanajifanya wanajua kila kitu,,hata corona walikuwa wanaijua kuliko Madaktari... Pumbavu kabsaaa
  7. A

    Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

    Mawazo ya watu Maskini,wenye hasira ya waliofanikiwa. Tabia hiyo ni UGONJWA WA AKILI
  8. A

    Kwanini Serikali haikuandaa kumbukumbu ya Hayati Magufuli?

    Kivuli chake KIZITO. WANAKIOGOPA
  9. A

    Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

    Weweee...Halafu unaonekana utakuwa na Shida saaana KIMAISHA. Watu kama wewe huwa mnakufa Maskini.
  10. A

    Lema waombe radhi Diaspora na DW-Swahili

    Lissu na Lema ni wanaharakati, sio Wanasiasa. Huwezi kumpa amri RAIS wa nchi kifala fala namna ile, Lisu anataka Rais aonekane WEAK. Lema na yeye ni Mlalamishi kama Mtoto Mdogo
Back
Top Bottom